Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #41
Check your fact boy,
Treni za Tazara zinaongozwa na nani? Ni hao wachina,delay , derailment , wizi , kila kitu hovyo.
Na mambo mengi njiani huko hadi Kapiri mposhi.wanapiga deal zao.
Kubeba abiria ni mwamvuli tu.
Una uzoefu gani kwenye treni mpaka ulete dharau kiasi hiki? Kwa uwezo wako mkubwa mpaka ukaona SGR ni takataka umenisaidia nini taifa. Naomba kujua ili watu wajifunze kwakoHili ndio treni la kasi sasa hii ni kama umepanda ndege sio SGR ya Mturuki takataka
Hii ndiyo mchongoko wa kweli ile ya Kadogosa ni butu kabisa
Kuna kitu kinaitwa exposure, ukikosa hii utakua unaamini vile vilivyokuzunguka tu, kumbe huko duniani mambo tofauti.We panda hizo, mi siamini chochote cha mchina.
Ili wawe madarakani endlessly lazima wakutengenezee maisha magumu usizindukeSi umeona haya mabehewa ya Kenya ya first class mkono wa Mchina unasafiri kiboss kabisa comfortable
Huajawahi panda mabasi ya Yutong au treni kwenye reli ya TAZARA?Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Sijakejeli, nimeeleza hali halisi ya mahali tulipo kiteknolojoa na kiuchumi.Hayo ni maendeleo binafsi ya mtu au kampuni usiyakejili siajabu wewe kitu ulichofanikiwa ni kuzindua boksa mpya tu
Kwa nini?Ili wawe madarakani endlessly lazima wakutengenezee maisha magumu usizinduke
Dah!...SGR yetu tuiboreshe kwa kuiletea treni kama hiiKwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29
Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing
Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.
1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu), imagine usafiri kwa masaa 3 tu ni kama umepanda mwewe wa ardhini
Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
View attachment 3189081View attachment 3189082View attachment 3189083View attachment 3189084View attachment 3189085View attachment 3189087
View attachment 3189091View attachment 3189092
View attachment 3189093View attachment 3189094
Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
Hakika unasafiri unafurahia safariDah!...SGR yetu tuiboreshe kwa kuiletea treni kama hii
Endelea hivyo hivyo usije ukageuka jiwe!!Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata went ewe ni km sio binadamu hivi
Unauziwa kutokana na budget yako na mategemeo yako, hata ukitaka guarantee mchina anakupatiaTazara walijenga na tunawalipa mpk leo, ilikua nchi ya kijamaa, sasa ni ya kibepari.
Hamna ubora kwenye kila kitu wao wanajali hela tu.
Wanakuuzia kitu chenye life span ndogo kikifa utupe ununue kipya.
Kwa spidi iliyotumika kukata umbali huo abiria hwajatoka na kizungu zungu kweli?
Hamna hiyo kitu wewe guarantee si karatasi tu, kwa kipindi nanunua nokia 95 slide ilikua hela ndefu.Unauziwa kutokana na budget yako na mategemeo yako, hata ukitaka guarantee mchina anakupatia
Train yenye speed zaidi duniani IPO marekani yenye 630km hr1
Treni za Marekani kama SGR yetu tu na mabodi yao yenye migongo kama bati za alafTrain yenye speed zaidi duniani IPO marekani yenye 630km hr1