China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

Elimu yao iko juu sana, wamewapika wataalamu kiasi kwamba wamepikika vilivyo na matokeo tunayaona pamoja na bidii zao
 
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
 
Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Hee ivi unaandika ukiwa wapi, juzi dereva wa Treni china alijirusha nje kwa lengo la kujiua na alikuwa amesheheni behewa abiria takriban 400, unaambiwa treni ilisimama wenyewe baada mitambo kugundua dereva hakuwapo kwenye kiti, sasa unapoongelea kufeli break labda hayo ni mambo yaliyo huko kwenu dar es salaam.
 
Kwa wachina wala sio ajabu, wale weka mbali. mzungu akasome.

Nasubiri comment ya myahudi mweusi akikunja uso
 
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
Umesema vyema China ndio taifa ambalo mataifa ya Afrika au nchi zinazoendelea zinatakiwa zijifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…