Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Go China go...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The rising dragon is spitting fireGo China go...
Umesema vyemaTreni za Marekani kama SGR yetu tu na mabodi yao yenye migongo kama bati za alaf
Elimu yao iko juu sana, wamewapika wataalamu kiasi kwamba wamepikika vilivyo na matokeo tunayaona pamoja na bidii zaoNi lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?
Pamoja na kuwa na treni nyingi za umeme na coverage kubwa zaidi ya km 45,000 kuliko mataifa yote yenye HSR ukiyaunganisha
Bado HSR ya China iko safer jiulize mara ya mwisho kusikia ajali ya treni China ilikuwa ni lini?
It means treni na system zina usalama mkubwa imekuwa na safety record nzuri sana
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapoYeah watasema hivyo wakati Marekani kwenye HSR treni lake la kasi zaidi lina 200km/hr
Ukitembelea Metro rail lines za majiji ya Marekani na ya China cha kwanza utagundua treni za Marekani ziko slow sana
Ukienda hata katika miji midogo ya China mfano nilikuwa kwenye mji wa Nanjing, oyaa trains and stations are always clean, hi-tech, well organized, za kasi kuliko hata za majiji makubwa ya Marekani kama N.Y, L.A, Miami, Chicago n.k ambazo ni chafu, delay, mwendo wa kobe
Usiombe sasa uende kwenye majiji makubwa ya China kama Shanghai, Beijing, Shenzhen n.k ni kama kila baada ya dk 3 treni inaingia na kutoka fast, on time, comfortable
Kwenye speed ya HSR China inaweka rekodi na kuvunja yenyewe
Kabla ya hii 450km/hr walikuwa na treni ya Fuxing yenye 350km/hr ilikuwa inashika rekodi ya dunia hata ya Mjapan Shikansen ambayo ni 320km/hr haimfikii Fuxing hadi kesho
Na bado Mchina ana project ya 1000km/hr iko kwenye majaribio
Inapohusu HSR tech China iko miles ahead of U.S na West kwa ujumla hata Japan na South Korea hawamfikii Mchina kwa sasa
Hee ivi unaandika ukiwa wapi, juzi dereva wa Treni china alijirusha nje kwa lengo la kujiua na alikuwa amesheheni behewa abiria takriban 400, unaambiwa treni ilisimama wenyewe baada mitambo kugundua dereva hakuwapo kwenye kiti, sasa unapoongelea kufeli break labda hayo ni mambo yaliyo huko kwenu dar es salaam.Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
And no one can stop itThe rising dragon is spitting fire