China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

Ni lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?

Pamoja na kuwa na treni nyingi za umeme na coverage kubwa zaidi ya km 45,000 kuliko mataifa yote yenye HSR ukiyaunganisha

Bado HSR ya China iko safer jiulize mara ya mwisho kusikia ajali ya treni China ilikuwa ni lini?

It means treni na system zina usalama mkubwa imekuwa na safety record nzuri sana
Elimu yao iko juu sana, wamewapika wataalamu kiasi kwamba wamepikika vilivyo na matokeo tunayaona pamoja na bidii zao
 
Yeah watasema hivyo wakati Marekani kwenye HSR treni lake la kasi zaidi lina 200km/hr

Ukitembelea Metro rail lines za majiji ya Marekani na ya China cha kwanza utagundua treni za Marekani ziko slow sana

Ukienda hata katika miji midogo ya China mfano nilikuwa kwenye mji wa Nanjing, oyaa trains and stations are always clean, hi-tech, well organized, za kasi kuliko hata za majiji makubwa ya Marekani kama N.Y, L.A, Miami, Chicago n.k ambazo ni chafu, delay, mwendo wa kobe

Usiombe sasa uende kwenye majiji makubwa ya China kama Shanghai, Beijing, Shenzhen n.k ni kama kila baada ya dk 3 treni inaingia na kutoka fast, on time, comfortable

Kwenye speed ya HSR China inaweka rekodi na kuvunja yenyewe

Kabla ya hii 450km/hr walikuwa na treni ya Fuxing yenye 350km/hr ilikuwa inashika rekodi ya dunia hata ya Mjapan Shikansen ambayo ni 320km/hr haimfikii Fuxing hadi kesho

Na bado Mchina ana project ya 1000km/hr iko kwenye majaribio

Inapohusu HSR tech China iko miles ahead of U.S na West kwa ujumla hata Japan na South Korea hawamfikii Mchina kwa sasa
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
 
Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Hee ivi unaandika ukiwa wapi, juzi dereva wa Treni china alijirusha nje kwa lengo la kujiua na alikuwa amesheheni behewa abiria takriban 400, unaambiwa treni ilisimama wenyewe baada mitambo kugundua dereva hakuwapo kwenye kiti, sasa unapoongelea kufeli break labda hayo ni mambo yaliyo huko kwenu dar es salaam.
 
Kwa wachina wala sio ajabu, wale weka mbali. mzungu akasome.

Nasubiri comment ya myahudi mweusi akikunja uso
 
Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
Umesema vyema China ndio taifa ambalo mataifa ya Afrika au nchi zinazoendelea zinatakiwa zijifunze
 
Back
Top Bottom