mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nami naliona hilo ni muhimuTz iombe kujiunga BRICS haraka sana maana ni wenzetu sio mabeberu hawa. Wana roho safi sana hawa!
Ni ngumu kwa sasa ikiwa bado tunachukua mikopo mingi na kufadhiliwa miradi mingi ya maendeleo na taasisi kubwa zinazoongozwa na nchi za G7.Tz iombe kujiunga BRICS haraka sana maana ni wenzetu sio mabeberu hawa. Wana roho safi sana hawa!
Ni ngumu kwa sasa ikiwa bado tunachukua mikopo mingi na kufadhiliwa miradi mingi ya maendeleo na taasisi kubwa zinazoongozwa na nchi za G7.
G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!
View attachment 2275992
Tz iombe kujiunga BRICS haraka sana maana ni wenzetu sio mabeberu hawa. Wana roho safi sana hawa!
Na huko Malawi tunae mwamba makini anatuwakilisha!kuna siku utashauri na Malawi ijiunge na BRICS hahahahahah
G7 GDP ni estimated 30T USD na BRICS ni 27 T USD.
Hakuna tofauti. Wanawezana wakishindana. Chumi nyingi za G7 zipo kwenye constant or declining stage wakati chumi za BRICS nyingi zipo kwenye exponential stage.
Kule anakotuwakilisha slow slowkuna siku utashauri na Malawi ijiunge na BRICS hahahahahah
πππππππππππGDP ya BRICS ni China (15T) + India(2.6)+ Brazili(1.4T)+ Russia(1.4T) + South Africa(301B)= 20.7 T USD
Wewe umezipataje hizo 27T za BRICS?
GDP ya G7 ni US (20T)+ Japan(5T)+Canada(1.6T)+UK(2.7T)+France (2.6)+ Ujerumani (3.8T)+ Italy(1.8T)= 37.5T USD
ChiziNa huko Malawi tunae mwamba makini anatuwakilisha!
Wote hao ni wale wale tuu wanaopinga kwa nguvu zote muungano wa Afrika.. Na wote hao wanaitamani Africa kwa ulafi wao woteG7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!
View attachment 2275992