China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

G7 GDP ni estimated 30T USD na BRICS ni 27 T USD.
Hakuna tofauti. Wanawezana wakishindana. Chumi nyingi za G7 zipo kwenye constant or declining stage wakati chumi za BRICS nyingi zipo kwenye exponential stage.
Muongo, muongo, muongo. G7 ni 45 trillion USD
 
Wote hao ni wale wale tuu wanaopinga kwa nguvu zote muungano wa Afrika.. Na wote hao wanaitamani Africa kwa ulafi wao wote
Walafi ni viongozi wako ambao wakienda ughaibuni huletewa mabinti wazuri hapo tayari madini ardhi na wanyama vinakabidhiwa kwa wawekezaji tena wengine wakipikiwa biriani tayari hoi bin taabani
 
BRICS wakiongezeka members wa2 tu nao kuwa 7 mfano Turkey, Egypt, Argentina, Iran, Indonesia, Nigeria, wawili kati yao, basi watawafikia G7.
Yaan 777m bado wamekuzidi wewe 3.3b kwa GDP, per capital inçome, na bado izo nchi za Brics zinategemea masoko ya uhakika kutoka kwa hao G7
 
GDP ya China ni 18T, GDP ya India ni 3T, GDP ya Brazil ni 1.5 T, GDP ya Russia ni 1.8T na GDP ya SA ni 0.32T.
Jumla: 25T
Izo GDP uchwara alimanusra USA azifikie peke yake[emoji2][emoji2]
 
Samahani ingawa sihusiki kwenye huu mjadala.
Kinachozungumziwa sio kujumlisha gdp za nchi Bali Jumla ya hizo gdp kwa gdp ya Dunia nzima.
Hivyo takwimu za 20++++ ya brics au 30+++ ya g7 ni percent ya gdp ya Dunia nzima. Totol percent ya gdp ya Dunia 100% katika hizo g7 inamiliki more 30%ya world gdp na hiyo brics ina more than twenty something %ya gdp ya Dunia.
Ng'ombe
 
BRICS wakiongezeka members wa2 tu nao kuwa 7 mfano Turkey, Egypt, Argentina, Iran, Indonesia, Nigeria, wawili kati yao, basi watawafikia G7.
Ki nchi G7 wapo wengi lakini ki population ya watu wa nchi zilizopo Brics na G7 . Brics Wana wananchi wengi sana hivyo basi Kwa upande wao inafungua mianya ya Brics kuweza kuwa ma soko kubwa litakalo weza kuwa nufaisha kibiashara in they future kuliko G7
 
Hizo sura za G7 zinaonesha kukata tamaa!! BRICS inatishia kuzikwa kwa dola na Euro kwenye biashara ya kimataifa! Wanakuja na utaratibu wa kufanya biashara baina ya mataifa kwa kutumia pesa zao za ndani na mwisho wa siku wataanzisha pesa yao ambayo nchi itaitumia bila masharti ya kisiasa kama ilivyo kwa dola na Euro!! Marekani tumbo moto!!
I love this [emoji28][emoji28][emoji28]🥱🥱
 
Yaan 777m bado wamekuzidi wewe 3.3b kwa GDP, per capital inçome, na bado izo nchi za Brics zinategemea masoko ya uhakika kutoka kwa hao G7
Kama wamewazidi kwanini Bei ya vitu vimepanda duniani kwasababu tu ya mgogoro mmoja tu kati ya Russia na Ukraine.
 
Tuanze kuchukua mikopo mingi na kufadhiliwa miradi na BRICS[emoji1787]
Kwa masharti wanayotupa hao G7 pamoja na taasisi zao za kifedha ni ngumu kuwaacha nakuwakimbilia BRICS, labda kama tuko tayari kupitia msoto wa kama Zimbabwe
 
Back
Top Bottom