Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo imewakejeli au imewakumbusha tu ukweli ulivyoG7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!
View attachment 2275992
... Tz iko uchumi wa kati Mkuu; so, ilisha-qualify siku nyingi sana tofauti na uliyotaja ni maskini wa kutupwa! We're a donor country you know!kuna siku utashauri na Malawi ijiunge na BRICS hahahahahah
... bila kuisahau donor country Tz!BRICS wakiongezeka members wa2 tu nao kuwa 7 mfano Turkey, Egypt, Argentina, Iran, Indonesia, Nigeria, wawili kati yao, basi watawafikia G7.
make kwanza nicheke[emoji16][emoji16] donor country?... Tz iko uchumi wa kati Mkuu; so, ilisha-qualify siku nyingi sana tofauti na uliyotaja ni maskini wa kutupwa! We're a donor country you know!
Samahani ingawa sihusiki kwenye huu mjadala.GDP ya BRICS ni China (15T) + India(2.6)+ Brazili(1.4T)+ Russia(1.4T) + South Africa(301B)= 20.7 T USD
Wewe umezipataje hizo 27T za BRICS?
GDP ya G7 ni US (20T)+ Japan(5T)+Canada(1.6T)+UK(2.7T)+France (2.6)+ Ujerumani (3.8T)+ Italy(1.8T)= 37.5T USD
Bado huamini ushawishi wa hao BRICS, China wenye uchumi imara, India yenye uchumi imara, SA ambao kila uchwao wahamiaji wanapalilia Brazil taifa kubwa na imara huko kusini mwa amaericaMnaweza kuwa wengi lakini hamna faida wala ushawashi kama walio wachache.
International community haiji kwa sababu mpo wengi tu.
Hao unaokubali kuwa ni wachache pia hawana ushawishi kwa kuwa wameshathibikika kuwa ni wanyonyaji na wakandamizaji. Ndiyo maana Afrika yote hakuna nchi iliyounga mkono vikwazo kwa urusi, Asia pia ukiaccha mataifa machache vibaraka kama korea kusini, Japan, na Taiwan. Amerika ya kusini pia mataifa mengi sana hayajakubaliana na vikwazo kwa Urusi na bado yanafanya biashara na Urusi. Ndiyo maana vikwazo vimewaumiza zaidi nchi za magharibi kuliko urusi yenyewe na wote ni mashahidi jinsi wanavyolalamika. INternational community lazima ibebe walio wengi!!Mnaweza kuwa wengi lakini hamna faida wala ushawashi kama walio wachache.
International community haiji kwa sababu mpo wengi tu.
Ujue siyo BRICS peke yake bali na sympasizers wao!! Mbona wanalia sana kwa ugumu wa maisha uliotokana na vikwazo vyao wenyewe?? Hao G7 kusema ukweli wako over-rated sana!! vinginevyo wasingelialia hivyo!! Ujue mchuano uliopo hadi sasa ni G7+NATO Vs Russia!! Na bado huyo mmoja (Russia) japo wamejaribu kumfunga mikono kwa kutumia vikwazo lakini bado anachakaza sana, na wamefika mahali sura zao haziakisi hayo wanayosema!! Sura zinaonesha kushindwa japo midomo inasema ushindi utatokea!Samahani ingawa sihusiki kwenye huu mjadala.
Kinachozungumziwa sio kujumlisha gdp za nchi Bali Jumla ya hizo gdp kwa gdp ya Dunia nzima.
Hivyo takwimu za 20++++ ya brics au 30+++ ya g7 ni percent ya gdp ya Dunia nzima. Totol percent ya gdp ya Dunia 100% katika hizo g7 inamiliki more 30%ya world gdp na hiyo brics ina more than twenty something %ya gdp ya Dunia.
Kwani hiyo kejeri imetolewa na nani pale China?🤔G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo.
China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!
View attachment 2275992
@Jackel upo ?Kwani hiyo kejeri imetolewa na nani pale China?🤔
Jackel ndio nani huyo mkuu?🤔@Jackel upo ?
ni id yakoJackel ndio nani huyo mkuu?🤔
hili litawezekana kwa kufanya kazi na kuacha uzembe, BRICS ni umoja wa mataifa yenye nguvu kiuchumi zaidi baada ya ya G7Tz iombe kujiunga BRICS haraka sana maana ni wenzetu sio mabeberu hawa. Wana roho safi sana hawa!
Hapana mkuu utakuwa umechanganya watuni id yako
... nadhani walimaanisha market size. Unapokuwa na population kubwa maana yake pia una soko kubwa. Hata hao G7 soko lao kubwa ni BRICS.Tanzania IPO juu ya population Takriban million 60 dhidi ya nchi ya Canada takriban million 40.
Sasa ni haki kusema Tanzia imeendelea zaidi ya Canada?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Bwana mbingunikwetu, mbinguni kwenu unarudi lini?G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo.
China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa) inayowakilisha watu zaidi ya bilioni tatu na ushee (3.2 bilioni) duniani!
View attachment 2275992