Kutembea tu kuona wachina wakoje na maisha yao.Sasa Pompeo aende China kutafuta Corona au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutembea tu kuona wachina wakoje na maisha yao.Sasa Pompeo aende China kutafuta Corona au?
Huyu naye asilete za kujifanya kujua, awe macho na fundamentalism ya waislamu.Pompeo aliyeajwa kwa jina na Biden katika hotuba baada ya kuapishwa. Amemtaja kama mtu aliyeharibu mahusiano na nchi marafiki na Marekani. Ameahidi kurudisha mahusiano na nchi za Kiislam...
Ukishakua mmarekani unakuwa muislamu type za kina French Montana na DJ Khaledhuyu naye asilete za kujifanya kujua, awe macho na fundamentalism ya waislamu.
Kwani hiyo Corona ameikosa Hapo Hapo kwao? mpaka aifuate China?Sasa Pompeo aende China kutafuta Corona au?
Acha kupotosha mkuu.Zuio la USA linabaki PALEPALE.
Huwezi kufurahi aliyekuua akifa.Its illogical.Tanzania mnaitegemea sana USA ,lakini USA haiitegemei sana China. Mpaka viongozi wakuu wa chi wanalalia vyandarua vilivyoandikwa USAIDS. Au kwa hisani ya watu wa Marekani.
Tuna safari ndefu sana kufika kanani, hapa naona kwa akili yako fupi umeshuka nondo? Et USA haitegemei CHINA, are you serious?Zuio la USA linabaki PALEPALE.
Huwezi kufurahi aliyekuua akifa.Its illogical.Tanzania mnaitegemea sana USA ,lakini USA haiitegemei sana China. Mpaka viongozi wakuu wa chi wanalalia vyandarua vilivyoandikwa USAIDS. Au kwa hisani ya watu wa Marekani.
Wachina ni wezi, matapeli wazoefuSisi nchi za Afrika tuko wapi? Huyu China kwa kutumia mitambo aliyowapa AU alikua anaiba data za vikao kila siku usiku na tulishindwa hata kumtaka aombe radhi.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]... sawaaaa lakini sio mahusiano na "SHIT HOLES COUNTRIES" kama Tanzania na Uganda sijui Kenya kwa 2022Pompeo aliyeajwa kwa jina na Biden katika hotuba baada ya kuapishwa. Amemtaja kama mtu aliyeharibu mahusiano na nchi marafiki na Marekani. Ameahidi kurudisha mahusiano na nchi za Kiislam. Na moja ya kazi ya kwanza aliyofanya baada ya kuapishwa, ni kufutwa mara moja, azimio la nchi za Kiislam na nyingine zilizoitwa za kiharifu. Ameahidi kurudisha mahusiano mema na China.
Huawei inapata nini ikifanya kazi na Google? Nieleweshe.. Why cant they be independent?Kitu ambacho ni sawa na kichekesho cha CHINA kusujudu ili HUAWEI iweze kufanya kazi na GOOGLE
China??Nyie hamjui mwingiliano wa kibiashara uliopo kati ya china na makampuni ya kimarekeni ndo maana mnasema hivyo.
Kwani hao aliowawekea vikwazo vya visa wanaenda marekani kufanya nini? Kama ni shopping watu wanaenda Dubai, India, china, nk
Hayo maswali yako ni mazuri lakini naona wadau hawakujibu.Huawei inapata nini ikifanya kazi na Google? nieleweshe.. why cant they be independent?
Hayo maswali yako ni mazuri lakini naona wadau hawakujibu.Nieleweshe, masoko ya hisa yanafanyaje kazi. China akirundika USA anapata faida gani, elimu please
Kwani watanzania wataenda kutafuta nini Marekani?China nao wamesubiri muda wake ueshe ndipo wapanue kinywa au ni kujikosha 😂😂😂 sasa ataenda kutafuta nini China? Iphone?
alibaba hajulikani alipoHata jamaa wa alibaba wameshamuua
Ndio maana hawatakiwi kwenda, sasa sijui why wanalazimisha.Kwani watanzania wataenda kutafuta nini marekani?
China ni sehemu ya biashara kwa kila taifa, sasa marekani kuna biashara gani?
China??
Kwa hio mtu kama Obama, Bush, Clinton. Condoleza.
Wanaenda China na Russia????
Thubutuu.
Hizo nchi hazina sheria. Hata jamaa wa alibaba wameshamuua.
Huko hawaendi kabisa unaweza ukachinjwa.
Tena wana hasira na mambo yanayoendela Hongkong
US ilipoweka zuio la baadhi ya bidhaa toka China, ukuaji wa uchumi ianguka toka 7% mpaka 2%. China ililipiza kwa kuweka zuio la baadhi ya bidhaa toka US, lakini uchumi wa US haukuonesha kutetereka kwa aina yoyote.Acha kupotosha mkuu.
Ety USA haimtegemei mchina.......
China ni kama maji usipoyanywa unayaoga.
China ni soko tosha kwa bidhaa zinazozalishwa duniani ikiwemo hao wamarekani wako unaofikiri wamekamilika.