China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

China launches its 3rd aircraft carrier.

Fujian has started sea trials. It’s China’s first supercarrier and the most advanced aircraft carrier ever built outside of the U.S.

The 316 meter long ship is expected to enter service next year.
 
Siye tunasubiri Mei Mosi watu wakimbize kuku na wengine washindane kuvutana.
Qatar wameipa kandarasi kampuni ya China kutengeneza meli kubwa ya kubeba LNG yenye thamani ya $ 5.4 billion

Kwenye Tshs ni trilioni 13

Bajeti ya Tanzania mwaka wa fedha 2024/2025 itakuwa Tsh trilioni 49

Kampuni hiyo ya China ikitengeneza meli 3 za aina hiyo wanakaribia kupata bajeti ya Tanzania
 
Weka picha zake
 
Hii sasa kufuru

Na hii ndio kampuni ileile ilipewa order na kampuni ya Ufarasa CMA CGM kutengeneza meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN

Kwa hiyo jamaa order 2 tu wameingiza mtonyo wa karibu US$ 10 bln

Kibongo bongo ni sawa ni Shilingi ngapi?
 
Hii sasa kufuru

Na hii ndio kampuni ileile ilipewa order na kampuni ya Ufarasa CMA CGM kutengeneza meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN

Kwa hiyo jamaa order 2 tu wameingiza mtonyo wa karibu US$ 10 bln

Kibongo bongo ni sawa ni Shilingi ngapi?
Tsh Triilion 25

Zaidi ya nusu ya bajeti ya Tanzania mwaka wa fedha 2024/2025
 
Hawa jamaa wanakula sana nguruwe na vyakula vya ngano huku sisi tumeambiwa ni haram.Ama hawa jamaa wangetuacha na sisi tule nguruwe tungekua na akili km wachina 😎.Sisi hata vivuko pale kigamboni vimetushinda kusimamia achana na mwendo kasi na bandari dah ...acha tu niwape maua yao wachina.
 
Alaf ikitokea vita inapigwa missile moja inazama ndani ya maji habari yake inaishia hapo.
 
Sisi tunaunda meli na Songoro marine

Ubabaishaji
Kampuni kama MSL sidhani kama ina wazo hata la kuunda mtumbwi
 
China saw cruise passenger trips exceed 190,000 in Q1 2024, surpassing the figure registered for the whole year of 2023, which amounted to 107,000 trips, according to the Ministry of Transport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…