Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tshs 3,456/-Hii kitu inaweza ikawa sh ngapi? Nataki nijipange
Kuna watu hata kama uwakubali inabidi uwape credit zao China mnajua sana.Shanghai, China
06/06/2023
Kampuni kubwa ya utengenezaji meli inayoitwa China State Shipbuilding Corporation (CSSC) yenye makao yake Shanghai walizindua meli ya kwanza ya kitalii (Cruise ship) kutengenezwa China, iliyopewa jina la Adora Magic City.
Itakuwa cruise ship ya kwanza duniani kuwa na internet ya 5G
Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 5246 na vyumba vya kulala 2826 ina
•Restaurants
•Theaters
•Shopping centres
•Water parks & swimming pools
•Outdoor Cinema
•Casinos
•Gaming lounge
•Luxury-brand boutiques
•Photo Gallery & Shop
•Bar
•Modern gym
•Spa
•Beauty saloon
•Stage for live perfomance
•Multi-Sports Course (for playing volleyball/basketball/tennis
•Themed entertainment for kids in 3 age groups
(i)Age 2-5 yo, 6-8 yo, and 9-11 yo
(ii)Children Club Lounge is for older kids (12-14 yo/video games, movies, parties, planned activities),
(iii)Teen Club for teenagers (15-17 yo/movies, interactive video gaming, karaoke, themed parties, booking teen-only cruise shore excursion).
Mwonekano wa nje;
View attachment 2654911
View attachment 2654912
Baadhi ya picha za mwonekano wa ndani
Hotel
View attachment 2654913
Restaurant
View attachment 2654914
Theatre
View attachment 2654915
Mall
View attachment 2654917
Water park
View attachment 2654952
Sasa ni wakati wa China kuingia katika ushindani na makampuni ya Ulaya na America katika utengenezaji wa cruise ships.
UTENGENEZAJI WA MELI CHINA
Mbali ya meli za abiria pia meli zinazotengenezwa kwa wingi nchini China ni meli za mizigo kama liquefied natural gas (LNG) tankers, oil tankers na container ships.
Baadhi ya rekodi zilizowekwa na China katika utengenezaji wa meli;
●Kwa miaka 13 mfululizo China inashikilia rekodi ya kuongoza uuzaji wa meli duniani.
●China State Shipbuilding Corporation (CSSC) ilisaini mkataba na kampuni ya Ufaransa ya CMA CGM kuitengenezea meli za kubeba kontena kubwa 16 zenye thamani ya 4 billion U.S. dollars. Imekuwa kampuni ya kwanza duniani kupewa oda kubwa kwa wakati mmoja
●Meli kubwa duniani ya kubeba container yenye ukubwa wa viwanja 4 vya mpira wa miguu, iliuzwa kwa kampuni ya Mediterranean Shipping Company (MSC) SA. Ilitengenezwa na kampuni ya Hudong-Zhonghua Shipbuilding Co Ltd, yenye makao yake Shanghai. Imepewa jina la MSC TESSA
View attachment 2654947
●China pekee inachangia 47.3% ya meli za mizigo zinazotengenezwa duniani
●Kampuni za China zinaongoza kwa kuwa na zaidi ya nusu ya oda za meli zote ulimwenguni
Voice Of America (VoA):
China has 19 modern shipbuilding yards pumping out commercial and naval ships. One of China's shipyards is so large that its capacity surpasses that of all U.S. shipbuilders combined.
Safi sana🇨🇳 China maintained the lead in global shipbuilding in 2023, contributing over 50% of global output. China attracted 59% of new orders in global market, while South Korea, ranking 2nd, claimed a 24% share. Last year, China also surpassed Greece as the world's largest shipowner.
China is something else!Kuna watu hata kama uwakubali inabidi uwape credit zao China mnajua sana.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD ya China wamezindua meli yenye uwezo wa kubeba magari 7000. Imetengenezwa na Guangzhou Shipbuilding International
Haya ni matokeo chanya ya serikali ya China kuwekeza kwenye R&D na sera nzuri za serikali kwenye masuala ya teknolojia na uchumi.Kuna watu hata kama uwakubali inabidi uwape credit zao China mnajua sana.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Japan wameshapoteana kwenye ship building industrySafi sana
Viva China ✌️
Maraisi wote waliopita kuanzia Chairman Mao Zedong, comrades Deng Xiaoping, Jiang Zemin, Hu Jintao wamefanya kazi nzuri.Haya ni matokeo chanya ya serikali ya China kuwekeza kwenye R&D na sera nzuri za serikali kwenye masuala ya teknolojia na uchumi.
Next South KoreaJapan wameshapoteana kwenye ship building industry
Nafikiri itakuwa ndio meli kubwa zaidi duniani ya kusafirisha wheeled cargoKampuni ya kutengeneza magari ya BYD ya China wamezindua meli yenye uwezo wa kubeba magari 7000. Imetengenezwa na Guangzhou Shipbuilding International
View attachment 2865321
China akishaingia kwenye production ya kitu au bidhaa fulani tegemea lazima aje kuongoza.Next South Korea
I think soNafikiri ndio itakuwa ndio meli kubwa zaidi duniani ya kusafirisha wheeled cargo
Nasubiri kwa hamu C919 na C929 zitakapokuja kuzipiku Airbus na Boeing kimauzo dunianiChina akishaingia kwenye production ya kitu au bidhaa fulani tegemea lazima aje kuongoza.
Mwezi Desemba mwaka jana 2023, BYD imeipiku Tesla kwa kuuza magari mengi zaidi ya umeme duniani
Hizi sio habari njema sana kwa bwana Elon Musk
KabisaNasubiri kwa hamu C919 na C929 zitakapokuja kuzipiku Airbus na Boeing kimauzo duniani
Titanic kwa sasa hayumo hata kwenye top 100 kwa ukubwa duniani!Duniani panazidi tu kunoga,wakati tukifurahia mafanikio ya wenzetu tusiache Muomba Mungu aepushilie mbali majanga katika hivi vyombo vinavyobeba ma elfu ya watu.
Najaribu tu kuwaza Meli inayoweza beba watu wazima 5000 and above, hujaongelea wenye watoto assume watoto wakubebwa wawe 500 plus vitoto vingine bado hujaweka wafanyakazi/wahudumu,nk
yani AJALI ya haya madude ikichukua watu wote unakua MSIBA wa DUNIA sio hata wa china maana ni yale yale ya TITANIC ndio tunakoelekea
Watafiti naombeni mnisaidie,IPO meli kwasasa iliyokuta ukubwa wa titanic na kuzidi labda au tuendelee kusubiri ila kwasasa haipo???
Ila sijajua kwanini naamini haya maendeleo ya China kwasasa yamechagizwa na bwana jintaoMaraisi wote waliopita kuanzia Chairman Mao Zedong, comrades Deng Xiaoping, Jiang Zemin, Hu Jintao wamefanya kazi nzuri.
Ila kwa njia ya kipekee Xi Jinping ameiinua sana China kwenye teknolojia sera yake ya China kutotegemea teknolojia ya nje na kuwekeza kwenye R&D imeleta innovations nyingi za ndani ya China
Safar yake ndio hii iloisha jana ilipiga safar ya week nzima?Bado hawajasema gharama ila safari zake mbili za kwanza itakuwa kati ya Shanghai kwenda Japan na South Korea