China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

Anayewaponza ni marekani

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Marekani wapuuzi sana ila na wanaomfata nadhani ni wapuuzi zaidi. Mfano saizi kawawekea vikwazo vya semi conductors China ila pia kawazuia Uholanzi, Japan, South Korea na Taiwan nao wasifanye biashara na China. Saizi haya mataifa yanalia kupungua kwa mauzo ya semi conductors maana China ndo alikuwa mteja mkubwa. Kesho na kesho kutwa China akishafikia uwezo wa kutengeneza chip zenye viwango sawa na vya hawa wengine anachofanya anali flood soko na hizi chip na hamna mtu atahitaji tena chip za Taiwan, Japan wala SK kwanini isitokee kama kinachotokea leo kwa meli na magari ya umeme!
 
NAKAZIA
 
Ila sijajua kwanini naamini haya maendeleo ya China kwasasa yamechagizwa na bwana jintao

Au sijui sababu jamaa nilikua namkubali tuuu Jintao nilikua namuelewa sanaaaaaaaa
Hu Jintao alikuwa na sera nzuri aliweka msingi wa scientific outlook on development ambayo Xi anaitumia pia ila hakuwa ngangari kama Xi ndiao maana wakati wa utawala wa Hu Jintao rushwa ilishamiri sana miongoni mwa viongozi wa CPC

Hu Jintao alitawala kipindi cha akina Bush na Obama ambao hawakuwa na sera kandamizi kwa China. Wakati huo GDP ya Marekani ilikuwa mara 3 ya China. Kwa hiyo hawakuiona China tishio

Xi kasimama imara kipindi kigumu sana ambacho Marekani na washirika wake wana sera za kuikandamiza China yenye uchumi mkubwa zaidi na teknolojia kubwa chini ya Xi Jinping na wanashindwa

Xi kadhibiti sana rushwa ndani ya CPC kitu ambacho Hu Jintao alishindwa

Xi Jinping yuko strong sana
 
Aaah hapa sasa nimekuelewa

Kwatafsiri isio rasmi kama hu angekutana na kipindi kama hiki anachokutana nacho xi kutoka kwa mabepari ingekua rahisi jamaa kutema bunge

Hapo kwa xi nakua na misimamo nakazia
 
China’s second homegrown cruise ship enters final assembly phase at dock, eyeing delivery by end-2026. Analysts and industry insiders said the progress made in the second homegrown large cruise ship attests to China's growing manufacturing capacity in building top-class vessels and will further contribute to the development of China's cruise ship industry.
 
Back
Top Bottom