Uchumi wa China sio mali ya Waarabu, Wahindi wala waburushi bali ni mali ya wachina wote ambao kwao ni China na kila kinachofanyika ni kwaajili ya China, wako serious na hilo.
Kwa nini robo na isiwe yote ina maana hautoshi kwa Marekani yote, una la kusema?.View attachment 3411980
Kwa sasa China inazalisha umeme mwingi kuzidi hata mataifa ya Marekani, bara la Ulaya na India yakiungana pamoja.
Na hili bwawa likikamilika litaongeza 300 billion killowat-hours kwa mwaka.
Umeme utakaozalishwa na hilo bwawa peke yake unaweza kulisha robo ya Marekani au kuzipa power Ufaransa na Italy kwa pamoja
Hatari aiseeView attachment 3411980
Kwa sasa China inazalisha umeme mwingi kuzidi hata mataifa ya Marekani, bara la Ulaya na India yakiungana pamoja.
Na hili bwawa likikamilika litaongeza 300 billion killowat-hours kwa mwaka.
Umeme utakaozalishwa na hilo bwawa peke yake unaweza kulisha robo ya Marekani au kuzipa power Ufaransa na Italy kwa pamoja
Sisi hatujali kuhusu kesho ya taifa.Financial muscles, Skilled labor force, technology nk vinatumika kudetermine future ya Taifa na generation zaidi ya tano.
Watu hawa hata Mungu huwabariki, maana hufanya kwa ajili ya manufaa ya watu wote na sio kikundi cha watu wachache kinachojiona ni Bora kuliko wengine.
Power generation freedom, hufanya cost of living kuwa cheap maana gharama ya energy inakuwa chini, gharama za uzarishaji kila mahala huenda chini na kuatract mitaji ya foreigners nk.
Huku kwetu Tanzania, kila kitu wamehodhi wahuni na hufanya kwa maslahi yao na vizazi vyao, matokeo yake tunabaki na uchumi uliosinyaa na usioukidhi population.
Uchumi wa China sio mali ya Waarabu, Wahindi wala waburushi bali ni mali ya wachina wote ambao kwao ni China na kila kinachofanyika ni kwaajili ya China, wako serious na hilo.
Ndani ya homs - Syria.
Hatumdai ? AmaMitano tena
Kwa nini robo na isiwe yote ina maana hautoshi Marekani yote? nisaidie.
Hatari aisee
Hakika wapo serious na kazi hawana muda wa kuchekeana
"Ooh umeme wa maji umepitwa wakati"
Mawakili wa Mazingira mtuambie itakatwa miti mingapi huko na mvua hazitanyesha kwa miaka mingapi?