Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Budget ya Tanzania kwa miaka 8 ijayo
Msingi wa awali wa mradi huu ulikuwa ukosefu wa maji katika maeneo ya kaskazini mwa China, ambayo yana ardhi kubwa ya kilimo. Mao Zedong alizungumzia wazo la mradi mkubwa wa uhandisi kama suluhisho la matatizo ya maji nchini China mapema mwaka 1952. Inasemekana alisema, “kuna maji mengi kusini, lakini hakuna maji ya kutosha kaskazini. Ikiwa inawezekana, kukopa maji kungekuwa vizuri.”
Ukuaji wa haraka wa viwanda na kilimo tangu mwaka 1978 ulisababisha kuongezeka kwa mahitaji ya maji kaskazini, hali iliyosababisha ongezeko kubwa la mahitaji ya maji kulinganisha na upatikanaji wake.
Mhandisi Wang Mengshu alitoa pendekezo la awali la kuhamisha maji kutoka Mto Songhua ulioko Jilin, takriban kilomita 900 kutoka Beijing. Kabla ya ujenzi kuanza, ilikadiriwa kuwa maendeleo ya Ukanda wa Uchumi wa Bohai yalikuwa yanazuiliwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa rasilimali za maji. Uamuzi wa kuanzisha mradi huu pia ulitokana na haja ya kimkakati ya kulinda upatikanaji wa maji mjini Beijing, ambayo kwa nadharia ingeweza pia kupatikana kwa gharama sawia kupitia njia ya kuyachuja maji ya bahari. Aidha, maji yamekuwa yakielekezwa kimkakati kutoka maeneo ya jirani ya Hebei kwenda Beijing, ingawa maeneo hayo nayo yanakabiliwa na upungufu wa maji.
Wazo halisi la mradi huu lilianza mwaka 2002, chini ya Wizara ya Rasilimali za Maji ya China, ambayo iliandaa michoro ya mradi na kuanzisha Ofisi ya Kamati ya Ujenzi wa Mradi wa Uhamishaji wa Maji Kusini-Kaskazini, ili kusimamia ujenzi. Ujenzi wa mradi ulianza mwaka 2003. Njia ya Mashariki na ya Kati zilichukua miaka tisa na kumi kujengwa, mtawalia. Njia ya Mashariki ilianza kufanya kazi mwaka 2013, na maji yalianza kupita kwenye Njia ya Magharibi mwaka 2014.
Mnamo mwaka 2024, iliripotiwa kuwa kilomita za ujazo 76.7 za maji zilikuwa tayari zimehamishwa katika kipindi cha miaka kumi tangu shughuli zianze. Athari za kimazingira za mradi huu zimekuwa zikifuatiliwa tangu ulipoanza, na iligunduliwa mwaka 2020 kuwa mradi huo umeboresha kwa kiasi kikubwa ubora wa maji pamoja na kiasi cha maji ya chini ya ardhi katika maeneo ya kaskazini.
Wakati mwingine unawaza kipotovu sana kuhusu Marekani..yaani Taifa yenye watu 200 unataka itengeneze miundombinu ya kuzalisha umeme sawa sawa na taifa lenye watu 1+bilioni? Na wakati huo Wananchi wa marekani wanatumia umeme mwingi na wa uhakika kuliko jamii ya watu wa China.Wakati Marekani inainvest kwenye unnecessary wars and conflicts
China inawekeza kwenye infrastructures
Money well spent for the people
China ina watu mara 4 ya Marekani, hazipaswi linganishwaView attachment 3411980
Kwa sasa China inazalisha umeme mwingi kuzidi hata mataifa ya Marekani, bara la Ulaya na India yakiungana pamoja.
Na hili bwawa likikamilika litaongeza 300 billion killowat-hours kwa mwaka.
Umeme utakaozalishwa na hilo bwawa peke yake unaweza kulisha robo ya Marekani au kuzipa power Ufaransa na Italy kwa pamoja
Umeme unaozalishwa Marekani ni kwa ajili ya matumizi ya Watu majumbani au ni pamoja na uzalishaji wa Kiuchumi?Wakati mwingine unawaza kipotovu sana kuhusu Marekani..yaani Taifa yenye watu 200 unataka itengeneze miundombinu ya kuzalisha umeme sawa sawa na taifa lenye watu 1+bilioni? Na wakati huo Wananchi wa marekani wanatumia umeme mwingi na wa uhakika kuliko jamii ya watu wa China.
Ukipenda Uchina usipotoshe kuwa USA inawekeza kwenye unnecessary wars and conflicts hapo unadanganya.
Fuatilia Uchina ndiyo inaduatia baada ya USA kwa kusafirisha Silahaa haramu.
Sidhani hata Wamarekani wangependa kusikia kauli hiyo. Ni ya kinyongeChina ina watu mara 4 ya Marekani, hazipaswi linganishwa
Kwa nini Tanzania hatutumii gesi yetu kuzalisha umeme??Wakati Magufuli huku anajenga bwawa la mwl Nyerere alipata upinzani hadi kwenye chama chake yaani; eti "ana haribu mazingira" stupid. Tumekariri elimu while wenzetu wana apply elimu. Nina hakika lile bwawa bado lina produce umeme under capacity; mzee baba alitaka 2500Mw sijui linatoa ngapi. Ngozi nyeusi tunawazaga wizi tu. Poor us, poor black people
China ina watu mara 4 ya Marekani, hazipaswi linganishwa
Miundombinu ya Marekani inazidi kuchakaa bila kufanyiwa maintainanceWakati mwingine unawaza kipotovu sana kuhusu Marekani..yaani Taifa yenye watu 200 unataka itengeneze miundombinu ya kuzalisha umeme sawa sawa na taifa lenye watu 1+bilioni? Na wakati huo Wananchi wa marekani wanatumia umeme mwingi na wa uhakika kuliko jamii ya watu wa China.
Ukipenda Uchina usipotoshe kuwa USA inawekeza kwenye unnecessary wars and conflicts hapo unadanganya.
Fuatilia Uchina ndiyo inaduatia baada ya USA kwa kusafirisha Silahaa haramu.
Mafisadi walimchukiaJPM aliitwa mshamba kutegemea umeme wa bwawa
Sa si uende mbele, acheni kutamani vya watu mtakuja kuumizwa vibaya sana.Huku Bongo tupo nyuma sana