China yazindua ujenzi wa bwawa la umeme la zaidi ya trillion 437,640,000,000,000

China yazindua ujenzi wa bwawa la umeme la zaidi ya trillion 437,640,000,000,000

Wachina wako serious sana hebu imagine hii megaproject:​

China's Middle Route Project of South-to-North Water Transfer​
World's largest water diversion project​
  • Huu ndio mradi mkubwa zaidi duniani wa kuhamisha maji​
  • Malengo ya mradi huu ni kuhamisha mita za ujazo bilioni 44.8 za maji kwa mwaka kutoka Mto Yangtze kusini mwa China hadi Bonde la Yellow River kaskazini mwa China kupitia mfumo wa mifereji​
  • Ina urefu wa km 1432​

  • Kila mwaka mradi huu unawanufaisha watu zaidi ya milioni 100 Kaskazini mwa China kwa ajili ya matumizi ya majumbani, kilimo na viwandani. ​

  • Kufikia 2014, zaidi ya $79 billion zimetumika kwenye mradi huu, hii imefanya kuwa moja ya mradi wa mkubwa sana wa kikandarasi ​

View attachment 3412077
Aisee balaah hili
 
JPM aliitwa mshamba kutegemea umeme wa bwawa
Ndio, Kutegemea umeme wa bwawa wa mvua ni ushamba. China wana kila aina ya vyanzo vya nishati na katika nishati mbadala umeme wa jua/solar ndio chanzo chao kikuu cha umeme.
 
Ndio, Kutegemea umeme wa bwawa wa mvua ni ushamba. China wana kila aina ya vyanzo vya nishati na katika nishati mbadala umeme wa jua/solar ndio chanzo chao kikuu cha umeme.
Mbona China wanainvest kwenye maji badala ya Solar?Mbona marekani nawenyewe hawtegemi solar?Solar ni for Small and Medium scale lakini larger scale ni maji,,na makaa ya mawe
 
Mbona China wanainvest kwenye maji badala ya Solar?Mbona marekani nawenyewe hawtegemi solar?Solar ni for Small and Medium scale lakini larger scale ni maji,,na makaa ya mawe
Screenshot_20250720_182213_Google.jpg
 
Waziri mkuu wa China Li Qiang azindua ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme katika eneo la Tibet.

Bwawa hilo litakuwa na ukubwa mara tatu zaidi ya bwawa la Three gorges lililopo China na litagharimu zaidi ya Trillion 400, pia litakuwa bwawa kubwa zaidi duniani.

Bwawa hilo litakuwa na uwezo wa kuzalisha 300 billion kWh kwa mwaka.

Tibet
China / Diplomacy
China’s Li Qiang announces launch of Tibet mega dam project that has worried India
Premier Li Qiang attends groundbreaking ceremony for Yarlung Tsangpo dam on Tibetan Plateau with projected 300 billion kWh annual capacity

The Yarlung Tsangpo River in Medog county of Nyingchi, in Tibet autonomous region. Photo: Xinhua
Meredith Chen in Hong Kong

Published: 10:41pm, 19 Jul 2025
Updated: 10:47pm, 19 Jul 2025

Chinese Premier Li Qiang on Saturday announced the launch of a mega dam project on the Tibetan Plateau, in what is expected to be the world’s largest hydroelectric facility. The massive project, located in the lower reaches of the Yarlung Tsangpo River, has raised concerns about water supply and environmental impact downstream in India and Bangladesh. Li attended the dam’s groundbreaking ceremony in Nyingchi, a southeastern city in the Tibet autonomous region, state news agency Xinhua reported on Saturday. The Yarlung Tsangpo becomes the Brahmaputra River as it leaves Tibet and flows south into India’s Arunachal Pradesh and Assam states, and finally into Bangladesh.
Advertisement

Advertisement
Beijing first announced plans for the dam in 2020 under its five-year plan, as part of a broader strategy to exploit the hydropower potential of the Tibetan Plateau. The plan was approved last December.
Premier Li Qiang (second from right) at the groundbreaking ceremony in Nyingchi city on Saturday. Photo: CCTV
Premier Li Qiang (second from right) at the groundbreaking ceremony in Nyingchi city on Saturday. Photo: CCTV
The project is said to be the largest of its kind in the world, with an estimated annual capacity of 300 billion kilowatt-hours of electricity – three times that of the Three Gorges Dam.
However, it has raised concerns in India and Bangladesh about the impact on their water and food security. There are also worries about population displacement and major environmental disruption, as well as potential weaponisation of water by China, which could use the dam to cause floods or induce droughts.
Newsletter
Weekly, Saturday
Dark Matters
Newsletter Icon

By submitting, you consent to receiving marketing emails from SCMP. If you don't want these, tick here

Email
SIGN UP
By registering, you agree to our T&C and Privacy Policy
China asserts that the project has undergone rigorous scientific evaluation and will not adversely affect the ecological environment, geological stability, or water resource rights of downstream countries. Beijing has also emphasised that it will not try to benefit at the “expense of its neighbours”. Rather, the project could help in disaster prevention and mitigation efforts, and support climate change adaptation in downstream regions, according to the Chinese foreign ministry. The dam has reportedly prompted India to speed up its own hydropower projects on the Brahmaputra in Arunachal Pradesh to assert water resource rights.
India maintains that Arunachal Pradesh is an integral part of its territory, while China claims it as part of southern Tibet and has objected to other Indian infrastructure projects there. The mega project in Tibet will have five cascade hydropower stations, with a total investment estimated at around 1.2 trillion yuan (US$167 billion), the Xinhua report said. It said the project would primarily deliver power for external consumption while also addressing local demand in Tibet.
Another Xinhua report on Saturday said a new state-owned enterprise, China Yajiang Group, had been established to serve as the project owner. It was a key measure to ensure the “smooth construction and operation” of the project, emphasising technological innovation and ecological protection, Vice-Premier Zhang Guoqing was quoted as saying at the firm’s recent inauguration ceremony.
Ila Magufuli alifufua bwawa la Mwalimu Nyerere alipingwa na chadema,vyeti feki,mafisadi,wahuni eti anaharibu mazingira upumzike kwa amani Magufuli mahali pema peponi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Marekani inainvest kwenye unnecessary wars and conflicts

China inawekeza kwenye infrastructures

Money well spent for the people
Vita zina faida na hasara zake binafsi mimi naziona vita hazina maana zaidi ya kutengeneza hasara ya muda mrefu na faida za muda mfupi
 
Vita zina faida na hasara zake binafsi mimi naziona vita hazina maana zaidi ya kutengeneza hasara ya muda mrefu na faida za muda mfupi
Vita haina faida kwa Wamarekani wanaofaidika na vita ni wachache ambao ni defense contractors

Angalia miundombinu ya Marekani inazidi kuchakaa kila siku leo ukitembelea subways za majiji makubwa kama New York, Chicago n.k ni chafu na zimechakaa

Marekani wana mradi wa ujenzi wa high speed railways California, kutoka L.A mpaka San Francisco tangu mwaka 2015, guess what?

Mpaka leo mradi umekua slow sana na gharama zinaongezeka kila mwaka

Zimejengwa km 190 tu mpaka sasa!

Wakati China tangu 2015 imeshajenga km 27,000 za high speed railways
​
 
Marekani kuna uhuni mwingi na konakona nyingi kwenye serikali
 
Mbona China wanainvest kwenye maji badala ya Solar?Mbona marekani nawenyewe hawtegemi solar?Solar ni for Small and Medium scale lakini larger scale ni maji,,na makaa ya mawe
China ndio taifa linaloongoza kuwekeza kwenye solar duniani
 
Rais, makamu wa rais, waziri mkuu, spika, jaji mkuu na viongozi wote wa Tanzania kwa pamoja wamepanga kushirikiana katika uzinduzi wa mashimo mawili ya choo katika shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha zilizogharimu Tsh 12B huku uzinduzi huo ukigharimu Tsh 40B 😎
Hili huwa linanishangaza hata mimi kwa kweli!
Mradi hata uwe wa bilioni 100, ni upuuzi kutumia hata bilioni 1 kwenye sherehe/shughuli za uzinduzi utafikiri kama taifa kila kitu kipo sawa. Labda wanambie wanafanya kwa sababu za kisiasa zaida au kuweka malengo ya kupiga kwenye kila tukio.
Huu ndio upuuzi JPM aliukataa, kuanzia sherehe za uhuru, n.k.
 
Gharama za uzinduzi zinazidi gharama ya mradi 🔥 pamoja na miradi mingine isiyokuwa na maana
 
Wachina wako serious sana hebu imagine hii megaproject:​

China's Middle Route Project of South-to-North Water Transfer​
World's largest water diversion project​
  • Huu ndio mradi mkubwa zaidi duniani wa kuhamisha maji​
  • Malengo ya mradi huu ni kuhamisha mita za ujazo bilioni 44.8 za maji kwa mwaka kutoka Mto Yangtze kusini mwa China hadi Bonde la Yellow River kaskazini mwa China kupitia mfumo wa mifereji​
  • Ina urefu wa km 1432​

  • Kila mwaka mradi huu unawanufaisha watu zaidi ya milioni 100 Kaskazini mwa China kwa ajili ya matumizi ya majumbani, kilimo na viwandani. ​

  • Kufikia 2014, zaidi ya $79 billion zimetumika kwenye mradi huu, hii imefanya kuwa moja ya mradi wa mkubwa sana wa kikandarasi ​

View attachment 3412077

View attachment 3412226

Msingi wa awali wa mradi huu ulikuwa ukosefu wa maji katika maeneo ya kaskazini mwa China, ambayo yana ardhi kubwa ya kilimo. Mao Zedong alizungumzia wazo la mradi mkubwa wa uhandisi kama suluhisho la matatizo ya maji nchini China mapema mwaka 1952. Inasemekana alisema, “kuna maji mengi kusini, lakini hakuna maji ya kutosha kaskazini. Ikiwa inawezekana, kukopa maji kungekuwa vizuri.”

Ukuaji wa haraka wa viwanda na kilimo tangu mwaka 1978 ulisababisha kuongezeka kwa mahitaji ya maji kaskazini, hali iliyosababisha ongezeko kubwa la mahitaji ya maji kulinganisha na upatikanaji wake.

Mhandisi Wang Mengshu alitoa pendekezo la awali la kuhamisha maji kutoka Mto Songhua ulioko Jilin, takriban kilomita 900 kutoka Beijing. Kabla ya ujenzi kuanza, ilikadiriwa kuwa maendeleo ya Ukanda wa Uchumi wa Bohai yalikuwa yanazuiliwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa rasilimali za maji. Uamuzi wa kuanzisha mradi huu pia ulitokana na haja ya kimkakati ya kulinda upatikanaji wa maji mjini Beijing, ambayo kwa nadharia ingeweza pia kupatikana kwa gharama sawia kupitia njia ya kuyachuja maji ya bahari. Aidha, maji yamekuwa yakielekezwa kimkakati kutoka maeneo ya jirani ya Hebei kwenda Beijing, ingawa maeneo hayo nayo yanakabiliwa na upungufu wa maji.

Wazo halisi la mradi huu lilianza mwaka 2002, chini ya Wizara ya Rasilimali za Maji ya China, ambayo iliandaa michoro ya mradi na kuanzisha Ofisi ya Kamati ya Ujenzi wa Mradi wa Uhamishaji wa Maji Kusini-Kaskazini, ili kusimamia ujenzi. Ujenzi wa mradi ulianza mwaka 2003. Njia ya Mashariki na ya Kati zilichukua miaka tisa na kumi kujengwa, mtawalia. Njia ya Mashariki ilianza kufanya kazi mwaka 2013, na maji yalianza kupita kwenye Njia ya Magharibi mwaka 2014.

Mnamo mwaka 2024, iliripotiwa kuwa kilomita za ujazo 76.7 za maji zilikuwa tayari zimehamishwa katika kipindi cha miaka kumi tangu shughuli zianze. Athari za kimazingira za mradi huu zimekuwa zikifuatiliwa tangu ulipoanza, na iligunduliwa mwaka 2020 kuwa mradi huo umeboresha kwa kiasi kikubwa ubora wa maji pamoja na kiasi cha maji ya chini ya ardhi katika maeneo ya kaskazini.

Back
Top Bottom