Wajinga kama wewe ndiyo wanasema Israel anaendeshwa na USA wakati huohuo hujui kuwa Israel na USA ni Washirika (Allied).Israel anaendeshwa na USA hiyo ni aibu kubwa
Kwanza shikamoo mzee, haya tuendelee, Hakuna ushirika wa tajiri na maskini, israel ni chawa wa USA hata hiyo ban kwa china ni ushawishi kutoka state,Wajinga kama wewe ndiyo wanasema Israel anaendeshwa na USA wakati huohuo hujui kuwa Israel na USA ni Washirika (Allied).
Nchi hizi mbili zinafanya mambo yao kwa kushirikiana katika kila nyanja. Nchi moja haiwezi kufanya jambo mpaka imshirikishe mwenzake na hivyo ndivyo inavyofanyika kwa Israel na Marekani ila Mabumunda kama wewe hamjui na mnatia aibu!!
Mara hii unataka kugeuka kuwa Sheihe Yahya kutabiri yajayo? kwanza Israel si Chawa wa Marekani bali nchi hizo ni Washirika (Allied) labda tu hujui maana ya washirika!! Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa Kwa miaka hiyo 5-15 Marekani na ISRAEL watakuwa hapohapo?Kwanza shikamoo mzee, haya tuendelee, Hakuna ushirika wa tajiri na maskini, israel ni chawa wa USA hata hiyo ban kwa china ni ushawishi kutoka state,
Ila tunza hii mzee wangu Echolima1 china ndani ya miaka 5-15 ataipiku USA kwa kila kitu
Muda ni muamuzi mzuri
Kinyume chake.Israel anaendeshwa na USA hiyo ni aibu kubwa
Hata kama watasogea ila watapitwaMara hii unataka kugeuka kuwa Sheihe Yahya kutabiri yajayo? kwanza Israel si Chawa wa Marekani bali nchi hizo ni Washirika (Allied) labda tu hujui maana ya washirika!! Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa Kwa miaka hiyo 5-15 Marekani na ISRAEL watakuwa hapohapo?
Wachina wana akili sana. Wanajua Israel inakwenda kufutwa kwenye uso wa dunia na Iran hivyo uwekezaji wao utapotea buleHABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.
Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye mshirika wetu-Waziri wa uwekezaji Israel.
Sawa Malkia Zumaridi, bwabwa la MayahudiHABARI KUBWA! China imezuia uwekezaji mpya nchini Israeli kimya kimya.
Hatuhitaji uwekezaji wa Kichina nchini mwetu!!!.
Israeli ni taifa lenye nguvu duniani katika teknolojia, matibabu, na usalama. Huu ni mwaliko wa uwekezaji zaidi kutoka nchi zenye nia moja. China si mshirika. Taiwan ndiye mshirika wetu-Waziri wa uwekezaji Israel.
Wajinga kama wewe ndiyo wanasema Israel anaendeshwa na USA wakati huohuo hujui kuwa Israel na USA ni Washirika (Allied).
Nchi hizi mbili zinafanya mambo yao kwa kushirikiana katika kila nyanja. Nchi moja haiwezi kufanya jambo mpaka imshirikishe mwenzake na hivyo ndivyo inavyofanyika kwa Israel na Marekani ila Mabumunda kama wewe hamjui na mnatia aibu!!
Acha kujitoa ufahamu!! Ujinga si tusi ni kutokuelewa lakini tukikuelewesha ujinga Una kutoka!!Kuitana wajinga hakubadilishi ukweli.
Kama Marekani na Israel wenyewe wanasema ni Washirika wewe Mmatumbi wa Kilwa-Masoko unapinga sisi wengine tunakuona kama Nguruwe tu!!!Kuwa washirika (allies) haimaanishi hakuna uhusiano wa nguvu (power imbalance).
Historia na siasa za kimataifa zinaonyesha wazi kuwa Marekani ndiyo mdhamini mkuu wa Israel – kifedha, kijeshi na kidiplomasia.
kuwa Allied si lazima muwe wote mna nguvu sawa mnaweza hata kama mmoja Ana nguvu ndogo, Wafuga Midevu na Majini Acheni Ujinga wenu!!Kuwa allies hakufuti ukweli kwamba mmoja ana nguvu zaidi kuliko mwenzake.