ChinaTech: Sehemu kubwa ya China haijaathirika na mvurugiko wa TEHEMA (IT) uliotokea leo duniani kote kwenye Microsoft Windows

ChinaTech: Sehemu kubwa ya China haijaathirika na mvurugiko wa TEHEMA (IT) uliotokea leo duniani kote kwenye Microsoft Windows

kwamba china imejitenga na dunia ndio maana haijaathirika?
International Transactions za bank zilkuwa fresh tu..
Ndege zimetua Europe kutokea china bila shida..

Msemaji, tuwekee taarifa ya serikali ya china inayothibitisha kauli yako.
 
Kwani apple waliharibokiwa?
Screenshot_20240719-225237_Chrome.jpg

OS ya Apple haina watumiaji wengi duniani tofauti na Microsoft Windows. Kwa hiyo outage ya Microsoft Windows ina impact kubwa duniani
 
Si Kweli China pia wanatumia Microsoft windows, kilicho tokea ni issue ya hio Ant virus ulioitaja na sio windows per se, hivyo China haijaathirika sababu haitumii hio Anti virus na sio kwamba China haijaathirika sababu haitumii windows.

Google hii term "Windows 10 Zhuangongban"

Hio ni specific version ya windows 10 ambayo inatumiwa na Serikali ya China, ili China watumie windows Wali demand Microsoft wawape China source code ya windows, na ili Microsoft ku comply na hio demand Waka develop windows kwa ajili ya serikali ya China tu.

China wana Phase out Intel, Amd na Microsoft ila bado kuwa self sustained kwenye hizo software/Hardware.
Wewe ndio mtaalamu hapa umemaliza tuachane na wajamaa wa china wanaoililia USA kila siku, wanataka credit za bure wakati hawastahili
 
Crowdstrike wanafanya kazi na deep state ya Marekani

Leo walikuwa wanakusanya taarifa za watumiaji mbalimbali duniani

This is a cyber attack iliyobarikiwa na serikali ya Marekani sio ya kuichukulia poa
Walikuwa wakikusanya ilhali CrowdStrike wana wateja zaidi ya 24,000 Duniani kote?

Sema nyuma ya pazia wamezuia isisemwe kuwa hili lilikuwa ni shambulizi la kimtandao la majaribio ambalo limelenga kuona "Resilience and Continuity" itawezekana vipi.

Wenzetu bado wako kwenye ile "The Big Reset" hivyo hii outrage ni kama vile pandemic zingine zilotokea.
 
Si Kweli China pia wanatumia Microsoft windows, kilicho tokea ni issue ya hio Ant virus ulioitaja na sio windows per se, hivyo China haijaathirika sababu haitumii hio Anti virus na sio kwamba China haijaathirika sababu haitumii windows.

Google hii term "Windows 10 Zhuangongban"

Hio ni specific version ya windows 10 ambayo inatumiwa na Serikali ya China, ili China watumie windows Wali demand Microsoft wawape China source code ya windows, na ili Microsoft ku comply na hio demand Waka develop windows kwa ajili ya serikali ya China tu.

China wana Phase out Intel, Amd na Microsoft ila bado kuwa self sustained kwenye hizo software/Hardware.
Umesoma uzi umeuelewa?

Soma kilichoandikwa kwenye uzi:
"Upande wa China haikuwa hivyo kwa sababu huduma nyingi hasa katika
mashirika ya serikali ziliachana na Microsoft Windows."

Hii ndio OS inayotumiwa na serikali ya China
Screenshot_20240719-230023_Chrome.jpg

Kwa hiyo makampuni binafsi, mashirika yasiyo ya kiserikali kuna ambao wanatumia Microsoft Windows
 
Microsoft wanafanya kazi na kampuni ya kubtengeneza antivirus ya CrowdStrike moja ya kazi ya hiyo antivirus ni kuzuia hackers

Kwa mujibu wa Crowdstrike imekiri kwamba tatizo hilo lilisababishwa na updating ya programu hiyo ya anti-virus ambayo imeundwa kulinda vifaa vinavyotumia Microsoft Windows dhidi ya mashambulizi mabaya kama ya hackers

Kwa hiyo wakati wa kuupdate kukotokea outage
CrowdStrike watumia Falcon ndo program yao mama katika kufanya monitoring ya matishio (Threats) kwenye mifumo ya Tehama.

Hivyo kukiwa na shida (malfunctions) kwenye hii Falcon hiyo itaathiri mifumo yote na hichi ndicho kilotokea.

Walipokuwa wakifanya updates mhandisi akakosea Code herufi moja tu ikawa shida kubwa.
 
Dunia ni kijiji, tunategemeana. Kiwanja cha ndege kilichopo Ulaya kikifungwa kwa muda, hata ndege za shirika la ndege la China hazitatua. Vivyo hivyo, kiwanja cha ndege kilichopo China kikiwa kipo wazi, bado hakuna ndege za mashirika ya Ulaya zitakazoenda China
Ndani ya China huduma ziliendelea kama kawaida
 
Walikuwa wakikusanya ilhali CrowdStrike wana wateja zaidi ya 24,000 Duniani kote?

Sema nyuma ya pazia wamezuia isisemwe kuwa hili lilikuwa ni shambulizi la kimtandao la majaribio ambalo limelenga kuona "Resilience and Continuity" itawezekana vipi.

Wenzetu bado wako kwenye ile "The Big Reset" hivyo hii outrage ni kama vile pandemic zingine zilotokea.
Wanafanya kazi na serikali ya Marekani kwenye issue za cybersecurity
 
Umesoma uzi umeuelewa?

Soma kilichoandikwa kwenye uzi:
"Upande wa China haikuwa hivyo kwa sababu huduma nyingi hasa katika
mashirika ya serikali ziliachana na Microsoft Windows."

Hii ndio OS inayotumiwa na serikali ya China
View attachment 3046706

Kwa hiyo mashirika yasiyo ya kiserikali kama private companies kuna ambao wanatumia Microsoft Windows
Sababu Kuna Computer zinatumia Kylin haimaanishi China hakuna Computer za Serikali zisizo tumia Windows, Zote Kylin, Windows na Neo kylin (Ubuntu) zinatumiwa na Serikali ya China.
 
Back
Top Bottom