Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Tupo uzuri kwelikweli.Hata Tanzania hatujaathirika, tupo vizuriš
Hakuna Falcon kuna aina zingine poa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo uzuri kwelikweli.Hata Tanzania hatujaathirika, tupo vizuriš
Hapo la kujifunza ni kwamba wachina wamefanyafanyaje kuwa na mifumo yao ya kipekee kabisa lakini ni ileile kutoka hukohuko USA.
Mambo makubwa yametokea huko Duniani.Nini kilitokea leo kwani
Kwahiyo mchina akitaka kutuma kitu USA kitu ambacho mtu wa USA hawezi kupokea kwa wakati hiyo sio hasara?
Vp wasafiri waliotaka kutoka au kwenda China? Hiyo sio hasara.
Zamani TTCL walikua wanamkatia mtu mawasiliano kabisa kama hajafanya malipo, kwa kufanya hivyo hata yule aliyepo hewani nae anakosa mtu wa kumpigia so wote wanakosa mawasiliano. TTCL nao wanakosa mapato. Wakagundua huu ni ujinga
It's a two way street. Fungueni bongo zenu
Kabisa.Innovation
Urusu hatumii windo 10 ana oparating systeam yake ya astra linuxSi Kweli China pia wanatumia Microsoft windows, kilicho tokea ni issue ya hio Ant virus ulioitaja na sio windows per se, hivyo China haijaathirika sababu haitumii hio Anti virus na sio kwamba China haijaathirika sababu haitumii windows.
Google hii term "Windows 10 Zhuangongban"
Hio ni specific version ya windows 10 ambayo inatumiwa na Serikali ya China, ili China watumie windows Wali demand Microsoft wawape China source code ya windows, na ili Microsoft ku comply na hio demand Waka develop windows kwa ajili ya serikali ya China tu.
China wana Phase out Intel, Amd na Microsoft ila bado kuwa self sustained kwenye hizo software/Hardware.
You will be suprised amount of win xp zinazotumika na serikali na Majeshi DunianiUrusu hatumii windo 10 ana oparating systeam yake ya astra linux
Hiyo Desktop isikudanganye mkuu.You will be suprised amount of win xp zinazotumika na serikali na Majeshi Duniani
View attachment 3046710
Angalia hio pc ya Putin hapo.
Astral inaweza tumika na Serikali na Windows pia inatumika. Unafikiri kila mtu ni mtaalam wa ku deal na line za linux?
China ina watu 1.4 billion wote wanahitaji huduma sio lazima iwe na Marekani. Nchi haiwezi kusimama kisa tu mtoa huduma Mmarekani amefeli. Ndio maana walikuja na alternative
It is a long process and time consuming.tuhame microsoft tutumie china os
Hakuna nchi imesimama. Disruption zipo ila nchi haisimamai. Tupo USA hapa shughuli zinaendelea kama kawaida.
About 1k flights tu zimekua cancelled worldwide, kwa akili yako ndege zinazoruka kwa siku duniani ni elfu1 tu?
JF, x, fb, tiko tiko nk zote zipo hewani.
Hakuna nchi imesimama. Ni hitilafu tu.
It is a long process and time consuming.
Ila kama nchi twaweza kuanza kufanyia kazi wazo lako.
Kwa sababu huko mbele litapotokea gharika kubwa la tehama kwa kweli nchi za Afrika zitaja pata shida kubwa.
Sawa zinaendelea ila kuna maeneo ambayo yameathirika na hiyo outage
From airports and ATM machines to grocery stores and even vending machines! etc
Bado mnatumia TikTok?
Wanaotumia tiko tiko Ipo hewani kama ada. Kama JF ilivyo hewani pamoja na changamoto zinazoendelea.
Watu wengi wakisikia neno "Self Dependence" hushangaashangaa tu.Self dependence kwenye tech ni muhimu sana hasa kwa upande wa haya mataifa makubwa
Ukiona hadi Kiswahili chetu tunaagiza kutoka Google, basi hali ni mbaya sana.hii ilitia ndani kuachana na utegemezi wa Microsoft Windows
Was it just a set or the whole part?Ukiona hadi Kiswahili chetu tunaagiza kutoka Google, basi hali ni mbaya sana.
ilitia ndani => it included š
Upo sahihi hata mimi nimewaza hivyo hivyo...Crowdstrike wanafanya kazi na deep state ya Marekani
Leo walikuwa wanakusanya taarifa za watumiaji mbalimbali duniani
This is a cyber attack iliyobarikiwa na serikali ya Marekani sio ya kuichukulia poa
Watu wengi wakisikia neno "Self Dependence" hushangaashangaa tu.