ChinaTech: Sehemu kubwa ya China haijaathirika na mvurugiko wa TEHEMA (IT) uliotokea leo duniani kote kwenye Microsoft Windows

Ubuntu yetu tu tumeipotezea, si rahisi kukuta mtu ofisini anaitumia kwa application za kazi za kawaida. Windows tamu, you will never walk alone
πŸ™…β€β™‚οΈ
 
kwamba china imejitenga na dunia ndio maana haijaathirika?
International Transactions za bank zilkuwa fresh tu..
Ndege zimetua Europe kutokea china bila shida..

Msemaji, tuwekee taarifa ya serikali ya china inayothibitisha kauli yako.
 
Wewe ndio mtaalamu hapa umemaliza tuachane na wajamaa wa china wanaoililia USA kila siku, wanataka credit za bure wakati hawastahili
 
Crowdstrike wanafanya kazi na deep state ya Marekani

Leo walikuwa wanakusanya taarifa za watumiaji mbalimbali duniani

This is a cyber attack iliyobarikiwa na serikali ya Marekani sio ya kuichukulia poa
Walikuwa wakikusanya ilhali CrowdStrike wana wateja zaidi ya 24,000 Duniani kote?

Sema nyuma ya pazia wamezuia isisemwe kuwa hili lilikuwa ni shambulizi la kimtandao la majaribio ambalo limelenga kuona "Resilience and Continuity" itawezekana vipi.

Wenzetu bado wako kwenye ile "The Big Reset" hivyo hii outrage ni kama vile pandemic zingine zilotokea.
 
Umesoma uzi umeuelewa?

Soma kilichoandikwa kwenye uzi:
"Upande wa China haikuwa hivyo kwa sababu huduma nyingi hasa katika
mashirika ya serikali ziliachana na Microsoft Windows."

Hii ndio OS inayotumiwa na serikali ya China


Kwa hiyo makampuni binafsi, mashirika yasiyo ya kiserikali kuna ambao wanatumia Microsoft Windows
 
CrowdStrike watumia Falcon ndo program yao mama katika kufanya monitoring ya matishio (Threats) kwenye mifumo ya Tehama.

Hivyo kukiwa na shida (malfunctions) kwenye hii Falcon hiyo itaathiri mifumo yote na hichi ndicho kilotokea.

Walipokuwa wakifanya updates mhandisi akakosea Code herufi moja tu ikawa shida kubwa.
 
Ndani ya China huduma ziliendelea kama kawaida
 
Wanafanya kazi na serikali ya Marekani kwenye issue za cybersecurity
 
Sababu Kuna Computer zinatumia Kylin haimaanishi China hakuna Computer za Serikali zisizo tumia Windows, Zote Kylin, Windows na Neo kylin (Ubuntu) zinatumiwa na Serikali ya China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…