ChinaTech: Sehemu kubwa ya China haijaathirika na mvurugiko wa TEHEMA (IT) uliotokea leo duniani kote kwenye Microsoft Windows

China ina watu 1.4 billion wote wanahitaji huduma sio lazima iwe na Marekani. Nchi haiwezi kusimama kisa tu mtoa huduma Mmarekani amefeli. Ndio maana walikuja na alternative
 
Urusu hatumii windo 10 ana oparating systeam yake ya astra linux
 
Urusu hatumii windo 10 ana oparating systeam yake ya astra linux
You will be suprised amount of win xp zinazotumika na serikali na Majeshi Duniani


Angalia hio pc ya Putin hapo.

Astral inaweza tumika na Serikali na Windows pia inatumika. Unafikiri kila mtu ni mtaalam wa ku deal na line za linux?
 
Hiyo Desktop isikudanganye mkuu.

Russia waliamua kuachana na Western Products kitambo na ndo wakaunda hiyo Astra Linux ambayo yatumiwa na jeshi hadi watu wa Intel.

Hiyo yaitwa lowering dependence on western products and import substitution industrialization. Hivyo mifumo yake yote ya elimu, afya na huduma zote za serikali zatumia Astra Linux.

Server zake zote zatumia Huawei ya mchina.

Windows XP sasa hivi ni history na Microsoft waliacha kutengeneza Patches tangia 2019 ila kuna nchi kama Armenia bado watumia XP hivyohivyo kwa kuwa na unofficial patches ambazo Microsoft wamesisitiza kuwa zaleta "compatibility issues".
 
China ina watu 1.4 billion wote wanahitaji huduma sio lazima iwe na Marekani. Nchi haiwezi kusimama kisa tu mtoa huduma Mmarekani amefeli. Ndio maana walikuja na alternative

Hakuna nchi imesimama. Disruption zipo ila nchi haisimamai. Tupo USA hapa shughuli zinaendelea kama kawaida.

About 1k flights tu zimekua cancelled worldwide, kwa akili yako ndege zinazoruka kwa siku duniani ni elfu1 tu?

JF, x, fb, tiko tiko nk zote zipo hewani.

Hakuna nchi imesimama. Ni hitilafu tu.
 
Sawa zinaendelea ila kuna maeneo ambayo yameathirika na hiyo outage

From airports and ATM machines to grocery stores and even vending machines! etc

Bado mnatumia TikTok?
 
It is a long process and time consuming.

Ila kama nchi twaweza kuanza kufanyia kazi wazo lako.

Kwa sababu huko mbele litapotokea gharika kubwa la tehama kwa kweli nchi za Afrika zitaja pata shida kubwa.
Self dependence kwenye tech ni muhimu sana hasa kwa upande wa haya mataifa makubwa
 
Sawa zinaendelea ila kuna maeneo ambayo yameathirika na hiyo outage

From airports and ATM machines to grocery stores and even vending machines! etc

Bado mnatumia TikTok?

Wanaotumia tiko tiko Ipo hewani kama ada. Kama JF ilivyo hewani pamoja na changamoto zinazoendelea.
 
Crowdstrike wanafanya kazi na deep state ya Marekani

Leo walikuwa wanakusanya taarifa za watumiaji mbalimbali duniani

This is a cyber attack iliyobarikiwa na serikali ya Marekani sio ya kuichukulia poa
Upo sahihi hata mimi nimewaza hivyo hivyo...
Kama inaweza kutokea hitilafu huko makao makuu ikaathiri Duniani kote basi hakuna usalama wa Data za mtumiaji yeyote wa vifaa vinavyotumia OS za Windows Duniani.
 
Watu wengi wakisikia neno "Self Dependence" hushangaashangaa tu.
Kwa siku 4 viongozi wa CPC walikuwa na mkutano na hawajaruhusu media yoyote kupata taarifa ya kikao hicho cha siri. Ila mojawapo ya ajenda ilikuwa ni

🔹Focus on education, talent, science & technology

Linapokuja suala la self dependence kwenye sci-tech China wako serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…