Soma na kuelewa, issue sio kama wanataka au hawataki, hilo sio lililoulizwa......
Swali lililo mezani ambalo mumeshindwa kuthibitisha ni kama bandari ilitumika kama chaka, was it used as collateral....
Kenya imesema haikutumia bandari kama collateral
China imesema bandari haikutumika kama collateral
Sasa nyie Watanzania mumeng'ang'ania kwamba Mchina anakuja kuchukua bandari, sielewi taarifa mnazitoa wapi, au mumeingiwa na kichaa cha aina gani, hehehe ila kwa kweli bandari yetu huwapa tabu sana, na sasa ukiongeza ieunga moja kwa moja kwenye reli ya kisasa ya SGR....mtazidi kupata maumivu sana halafu ujenzi wa SGR bado unaendelea mpaka tufike kwa Kongoman...
Airport inayotaka kuchukuliwa itang'olewa na kupelekwa China?Tuliwauliza humu, tatizo nini? Wakashindwa kutujibu.
Tuliwauliza humu, hao Wachina wataibeba hiyo port waipeleke China? wakashindwa kutujibu.
Sasa waje watuombe msamaha kwa ujinga wao.
Geza Ulole is the obsession this bad?😀😀😀😀Hehehe! Kwanza the narrative was that the port has already been taken...
When exactly did you want them dismissed?Why did it take such a long time to dismiss these claims?
Ni wale mandugu hungoja kifo waridhi mali.Watangoja sana. Kama tegemeo lao la kupaa kiuchumi lilikuwa ni bandari ya Mombasa 'kuchukuliwa' basi pole yao. Wajaribu mbinu nyingine.
What do you think? Soon as these claims surfaced may be?When exactly did you want them dismissed?
Ndipo nnaposhangaa mimi hapo.Airport inayotaka kuchukuliwa itang'olewa na kupelekwa China?
So you actually think that Kenyans are aware or that they even give a rat's ass about what Tanzanians think or gossip about Kenya? Wake up!What do you think? Soon as these claims surfaced may be?
Sizani kama kuna mTz ambae anaelewa biashara ya sasa na anaye itakia mema Dar port atafurahia china kuimiliki na kuiendesha Msa Port. Hiyo mitambo na speed itakayo kuwa nayo, Dar port itakimbizwa puta puta. Hizi habari za wachina kuchukua Msa port ziliandikwa na wakenya na zimejadiliwa ata Nigeria na Gabon siyo Tz peke yake. Wakenya pambaneni na hali zenu.Watangoja sana. Kama tegemeo lao la kupaa kiuchumi lilikuwa ni bandari ya Mombasa 'kuchukuliwa' basi pole yao. Wajaribu mbinu nyingine.
Mipaka iliwekwa na wakoloni watutawale vizuri. Mimi Mtanganyika.Kwani wewe ni mkenya?
Kwa hivyo sasa hivi bandari ya Dar inaikimbiza bandari ya Mombasa? Acha mzaha. Endeleeni kusherehekea bandari ya Mombasa kuchukuliwa na mchina. Meanwhile wakenya hawana huo muda wa kufatilia fatililia kinachoendelea Tz.Sizani kama kuna mTz ambae anaelewa biashara ya sasa na anaye itakia mema Dar port atafurahia china kuimiliki na kuiendesha Msa Port. Hiyo mitambo na speed itakayo kuwa nayo, Dar port itakimbizwa puta puta. Hizi habari za wachina kuchukua Msa port ziliandikwa na wakenya na zimejadiliwa ata Nigeria na Gabon siyo Tz peke yake. Wakenya pambaneni na hali zenu.
Kwa hivyo sasa hivi bandari ya Dar inaikimbiza bandari ya Mombasa? Acha mzaha. Endeleeni kusherehekea bandari ya Mombasa kuchukuliwa na mchina. Meanwhile wakenya hawana huo muda wa kufatilia fatililia kinachoendelea Tz.
Yea. It was reported that the port has already gone to the Chinese.Hehehe! Kwanza the narrative was that the port has already been taken...
Mipaka iliwekwa na wakoloni watutawale vizuri. Mimi Mtanganyika.
I thought you knew by the amount if bile you spewing here. Bure kabisa!!What do you think? Soon as these claims surfaced may be?
Wa kwanza ni wewe hapo, amesahau kwamba huwa unakesha kwenye jukwaa hili kutoka chee hadi machweo? Wa pili ni rais wako, ambaye jina la Kenya huwa hakomi kulitaja ovyo ovyo kila uchao.Povu,haya yote ya nini??nani anaifuatlia kenya??
Toka zamani sana umeshindwa kunisoma vizuri tu.Hehehe!! Siku hizi haya majibu yako...dah... ila ndio ukweli mchungu, mkoloni aliamrisha muitwe Watanganyika na sisi Wakenya, tuishi hivyo hadi atakaleta amri mpya.
Wa kwanza ni wewe hapo, amesahau kwamba huwa unakesha kwenye jukwaa hili kutoka chee hadi machweo? Wa pili ni rais wako, ambaye jina la Kenya huwa hakomi kulitaja ovyo ovyo kila uchao.