Chinese govt dismisses Fake report of Mombasa Port being collateral

Why did it take such a long time to dismiss these claims?
 
Soma na kuelewa, issue sio kama wanataka au hawataki, hilo sio lililoulizwa......
Swali lililo mezani ambalo mumeshindwa kuthibitisha ni kama bandari ilitumika kama chaka, was it used as collateral....
Kenya imesema haikutumia bandari kama collateral
China imesema bandari haikutumika kama collateral
Sasa nyie Watanzania mumeng'ang'ania kwamba Mchina anakuja kuchukua bandari, sielewi taarifa mnazitoa wapi, au mumeingiwa na kichaa cha aina gani, hehehe ila kwa kweli bandari yetu huwapa tabu sana, na sasa ukiongeza ieunga moja kwa moja kwenye reli ya kisasa ya SGR....mtazidi kupata maumivu sana halafu ujenzi wa SGR bado unaendelea mpaka tufike kwa Kongoman...

Then what is the collateral?
 
Tuliwauliza humu, tatizo nini? Wakashindwa kutujibu.

Tuliwauliza humu, hao Wachina wataibeba hiyo port waipeleke China? wakashindwa kutujibu.

Sasa waje watuombe msamaha kwa ujinga wao.
Airport inayotaka kuchukuliwa itang'olewa na kupelekwa China?
 
Watangoja sana. Kama tegemeo lao la kupaa kiuchumi lilikuwa ni bandari ya Mombasa 'kuchukuliwa' basi pole yao. Wajaribu mbinu nyingine.
Sizani kama kuna mTz ambae anaelewa biashara ya sasa na anaye itakia mema Dar port atafurahia china kuimiliki na kuiendesha Msa Port. Hiyo mitambo na speed itakayo kuwa nayo, Dar port itakimbizwa puta puta. Hizi habari za wachina kuchukua Msa port ziliandikwa na wakenya na zimejadiliwa ata Nigeria na Gabon siyo Tz peke yake. Wakenya pambaneni na hali zenu.
 
Kwa hivyo sasa hivi bandari ya Dar inaikimbiza bandari ya Mombasa? Acha mzaha. Endeleeni kusherehekea bandari ya Mombasa kuchukuliwa na mchina. Meanwhile wakenya hawana huo muda wa kufatilia fatililia kinachoendelea Tz.
 
Povu,haya yote ya nini??nani anaifuatlia kenya??
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mipaka iliwekwa na wakoloni watutawale vizuri. Mimi Mtanganyika.

Hehehe!! Siku hizi haya majibu yako...dah... ila ndio ukweli mchungu, mkoloni aliamrisha muitwe Watanganyika na sisi Wakenya, tuishi hivyo hadi atakaleta amri mpya.
 
Povu,haya yote ya nini??nani anaifuatlia kenya??
Wa kwanza ni wewe hapo, amesahau kwamba huwa unakesha kwenye jukwaa hili kutoka chee hadi machweo? Wa pili ni rais wako, ambaye jina la Kenya huwa hakomi kulitaja ovyo ovyo kila uchao.
 
Hehehe!! Siku hizi haya majibu yako...dah... ila ndio ukweli mchungu, mkoloni aliamrisha muitwe Watanganyika na sisi Wakenya, tuishi hivyo hadi atakaleta amri mpya.
Toka zamani sana umeshindwa kunisoma vizuri tu.
 
Wa kwanza ni wewe hapo, amesahau kwamba huwa unakesha kwenye jukwaa hili kutoka chee hadi machweo? Wa pili ni rais wako, ambaye jina la Kenya huwa hakomi kulitaja ovyo ovyo kila uchao.

Ndio hukaa mkifikiria hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom