Ni kweli mhitimu wa darasa la saba anatakiwa atoke na ujuzi wa ufundi na ujasiliamali ili apambane na mazingira yanayomzunguka... kuna kipindi Mwalimu Nyerere alianzisha FDC ambayo wenzetu waliokuwa hawachaguliwi darasa la saba basi walijiunga na vyuo hivi vya ufundi stadi kwa bei chee nafikiri karibu na bure - vilikuwa kila wilaya.
Hongera CDM kwa Sera nzuri ya Elimu - kwa mfano vijana wanaomaliza darasa la saba kwa sasa at age ya 14 - 15 ambao hawaendeei na masomo hawana mfumo rasmi ambao unawatambua na wanatakiwa kwenda kujiunga nao, so at that very young age, wanaishia mijini kufanya kazi za uyaya na u bamedi na wavulana kuuza masharti na soksi mabarabarani.
Serikali ina wajibu wa kuwalinda hawa watoto kwa kuwapa mfumo bora wa elimu itakayowawezesha kujifunza Ujuzi wowote ili kupambana na hali ya maisha na si kuwaacha wanarandaranda mitaani - hawa bado ni watoto wa Serikali. (Umma)