Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna hojaNursery 2 years + primary 7 years = 9 years.
Kwa sasa kuna wanaosoma 7 years (hakuna shule ya awali)
Wengine 8 years = Shule ya awali mwaka mmoja
Wengine 9 years = Shule ya awali miaka miwili
Wengine 10 years = Shule ya awali miaka mitatu.
Wazo la 9 years litafanya watoto wote wasome shule za awali