Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja.

Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando.

Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga wanabeba tena makombe yote huku wanasimba wakilia na kusaga meno.

Hii ni aibu mechi sita dhidi ya mtani umefunga goli moja pekeee, bado mnaamini tu ni matokeo ya uwanjani? Wenzenu wapo tayari waruke ukuta ilimradi wapate matokeo.🤣🤣🤣🤣

25E6D0AD-8D39-41EC-A47F-0D4A45557694.jpeg
 
Hizo mechi sita wamecheza ndani ya msimu mmoja zote? Na kama kuna za misimu miwili basi nakukumbusha tu kuwa msimu mmoja wa 2020/2021 chini ya Barbra walichukua makombe yote hivyo hoja yako inakufa kibudu kama akili yako ilivyokufa.

Jambo lingine, unapaswa kujua kuwa chini ya Babra ndio Simba imepata mafanikio makubwa kiuchumi na kutwaa makombe mfululizo kuliko kipondi kingine chochote kile.
 
Mbona mwaka huu wa 2022 walishinda kombe la kihistoria la Mapinduzi kule Zanzibar!!

Achanana lile kombe lingine walilopata baada kuanzisha yale mashindano yao na kuvialika vilabu vikubwa kabisa Barani Afrika kama TP Mazembe na Al Hilal ya Sudan!

Bado timu yao ya Simba Queens imechukua ubingwa wa ligi kuu ya wanawake kwa mara ngapi sinui mfululizo! Haya yote yamefanyika chini ya uongozi wa CEO na mwanamke shupavu Barbra!!
 
Hizo mechi sita wamecheza ndani ya msimu mmoja zote? Na kama kuna za misimu miwili basi nakukumbusha tu kuwa msimu mmoja wa 2020/2021 chini ya Barbra walichukua makombe yote hivyo hoja yako inakufa kibudu kama akili yako ilivyokufa.

Jambo lingine, unapaswa kujua kuwa chini ya Babra ndio Simba imepata mafanikio makubwa kiuchumi na kutwaa makombe mfululizo kuliko kipondi kingine chochote kile.
Mafanikio ya mpira yanaanzia uwanjani uchumi baadae
 
Na yale iliyoyapata zamani chini yaa Barbra hayakuwa ya nchi hii au?
 
Hizo mechi sita wamecheza ndani ya msimu mmoja zote? Na kama kuna za misimu miwili basi nakukumbusha tu kuwa msimu mmoja wa 2020/2021 chini ya Barbra walichukua makombe yote hivyo hoja yako inakufa kibudu kama akili yako ilivyokufa.

Jambo lingine, unapaswa kujua kuwa chini ya Babra ndio Simba imepata mafanikio makubwa kiuchumi na kutwaa makombe mfululizo kuliko kipondi kingine chochote kile.
Hapo kwenye kiuchumi niache kidogo
 
Mbona mwaka huu wa 2021 walishinda kombe la kihistoria la Mapinduzi kule Zanzibar!!

Achanana lile kombe lingine walilopata baada kuanzisha yale mashindano yao na kuvialika vilabu vikubwa kabisa Barani Afrika kama TP Mazembe na Al Hilal ya Sudan!

Bado timu yao ya Simba Queens imechukua ubingwa wa ligi kuu ya wanawake kwa mara ngapi sinui mfululizo! Haya yote yamefanyika chini ya uongozi wa CEO na mwanamke shupavu Barbra!!
Acha dharau
 
Nyie mbona mko tayari muwashe moto Viwanjaninili mpate Matokeo.. au siku hzi moto huwashiki..?

Kwanza Uzi bila picha ni uzushi kama uzushi mwingine, weka picha tumuone Professor wa Mpira "NABI" wakati anaruka wall
 
Back
Top Bottom