Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja.
Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando.
Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga wanabeba tena makombe yote huku wanasimba wakilia na kusaga meno.
Hii ni aibu mechi sita dhidi ya mtani umefunga goli moja pekeee, bado mnaamini tu ni matokeo ya uwanjani? Wenzenu wapo tayari waruke ukuta ilimradi wapate matokeo.🤣🤣🤣🤣