Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Tuweke pesa kwenye mpira hakuna mambo ya kuungaunga siku hizi! Kama huna pesa kwenye mpira wa sasa utasindikiza wenzako tu!Zodoaneni mkimaliza mnakuta ngao ya jamii hii hapa mayele anawapiga tena
Mafanikio ya mpira yanaanzia uwanjani uchumi baadaeHizo mechi sita wamecheza ndani ya msimu mmoja zote? Na kama kuna za misimu miwili basi nakukumbusha tu kuwa msimu mmoja wa 2020/2021 chini ya Barbra walichukua makombe yote hivyo hoja yako inakufa kibudu kama akili yako ilivyokufa.
Jambo lingine, unapaswa kujua kuwa chini ya Babra ndio Simba imepata mafanikio makubwa kiuchumi na kutwaa makombe mfululizo kuliko kipondi kingine chochote kile.
Tuweke pesa kwenye mpira hakuna mambo ya kuungaunga siku hizi! Kama huna pesa kwenye mpira wa sasa utasindikiza wenzako tu!
Hapo kwenye kiuchumi niache kidogoHizo mechi sita wamecheza ndani ya msimu mmoja zote? Na kama kuna za misimu miwili basi nakukumbusha tu kuwa msimu mmoja wa 2020/2021 chini ya Barbra walichukua makombe yote hivyo hoja yako inakufa kibudu kama akili yako ilivyokufa.
Jambo lingine, unapaswa kujua kuwa chini ya Babra ndio Simba imepata mafanikio makubwa kiuchumi na kutwaa makombe mfululizo kuliko kipondi kingine chochote kile.
Acha dharauMbona mwaka huu wa 2021 walishinda kombe la kihistoria la Mapinduzi kule Zanzibar!!
Achanana lile kombe lingine walilopata baada kuanzisha yale mashindano yao na kuvialika vilabu vikubwa kabisa Barani Afrika kama TP Mazembe na Al Hilal ya Sudan!
Bado timu yao ya Simba Queens imechukua ubingwa wa ligi kuu ya wanawake kwa mara ngapi sinui mfululizo! Haya yote yamefanyika chini ya uongozi wa CEO na mwanamke shupavu Barbra!!
Mwamedi akikusikia.....ohooo......Ila Barbara ni mzuri nyie.
Daah toto la kilatina.