Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

Tumeibiwa sna hawamu ya tano ndo maana vyombo vya habari havikuwa huru na iliminya sana demokarasia lengo lilikuwa kutuhujumu nadhani ndo awamu iliyolisababishia taifa hasara kubwa lazima serikali ichukue hatua kali sana kwa wahusika
Tazama anavyoandika na huyu..ndo mana nasema wengi humu niwafuata upepo..kama kiswahili tu hujui kukiandika kiufasaha iweje sasa kuchambua mambo kiundani zaidi? Ukisema hawamu unamanisha nini?? Kama hujui kuandika awamu wewe nae ni hewa tu huelewi unachokiongelea.
 
Acha uongo.

Ukarabatu wa viwanja vya ndege ni project iliyoachwa na Kikwete.
Ameiacha kwa kipindi cha miaka 10 yote?? Wewe nae hujielewi..nenda kalale tu mkuu.wacha wanaojua waendelee kuchangia hii mada..kikwete ameanza kutelekeleza mirad yake akiwa mwaka wa nane ndo kaanza kupiga mark time baada ya kuona anazomewa kila kona kwa uzembe wake..na hata kutekeleza kwenyewe ni kwa hovyo hvyo tuu..mfamo ni gas ya mtwara..hewa kabisaa..mbaya zaidi naona mama nae anamskiliza.time will tell..
 
Alikuwa anaongoza nchi kama familia yake.Analima majaruba huko aliko na mijeledi ana kula kana kwamba hajawahi Shika wadhifa mkubwa
 
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL.

Hasara na upotevu huu uliotokea chini ya utawala wa Magufuli, ni mbali na mamilion na mabilioni mengine yaliyopotea katika sekta za utalii, n.k kama inyoonyeshwa katika report ya CAG ya mwaka huu.

Bado hasara zinazotokana na serikali kufunguliwa makesi katika mahakama za usuluhishi za kimataifa bila kusahau hasara zilizotokana na siasa za hovyo za watu kujiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi na kuliingiza Taifa gharama kubwa za mamilion kugharamia chaguzi ndogo.

Kwa kifupi, katika awamu ya Magufuli, Taifa limepata hasara kubwa Katika baadhi ya maeneo na pia kuna fedha nyingi zimetumika na kuacha utata mtupu kama hayo matumizi ya shilingi trilioni moja yaliyohojiwa na wabunge wa upinzani baada ya kuichambu report ya CAG aliepita(Prof.Assad).

Itakuwa ni jambo jema Bunge kuunda kamati teule kuchunguza utata wa matumizi haya ya shilingi trilioni 1.5 ili umma ujue ukweli ni upi na si hizi kelele za MATAGA kutaka kutuaminisha kuwa ufisadi ulidhibitiwa enzi za Hayati Magufuli tofauti na awamu zilizopita.

Kama hamtaki kuchunguza tuhuma hizi, acheni kumlinganisha Magufuli na watangulizi wake, hasa Kikwete, ambae wakati wake Bunge liliweze kuunda kamati teule na kuchunguza tuhuma zinazoihusu serikali, na pia vyombo vya habari viliweza kuanika kashifa mbalimbali za serikali bila kusahau Whistleblowers (kina Tumbili) waliweza kuanika madudu yaliyokuwa yanaendelea serikalini tofauti kabisa na ilivyokuwa wakati wa Magufuli .
Nadhani baada ya ripoti ya kichere malaika mbinguni wamempeleka upande was pili.mgeni wao
 
Mkuu tatizo siyo hasara. Tatizo ni kwamba wakati wa Utawala wa Jiwe hatujawahi kusikia hasara bali faida. Je nikweli kulikuwa hakana hasara?? Walikuwa wanaficha kwa faida ya nani?? Je ndege ndiyo iliyokuwa kipaumbele cha Watz??

Nyimbo zilikuwa zinaimbwa za kuabudu na kusifu. Hakuna kukosoa wala kurekebisha. Na yeyote aliyejaribu kufanya hivyo aliishia kushambuliwa kwa matusi ya kila namna.
Sasa tatizo linakuja hao hao waliokuwa waimbaji wakubwa wa nyimbo zile ndio hivi sasa ni wakosoaji wakubwa wa utawala wa Jiwe. Je kwako wewe ni sahihi??
Sio sahihi kabisa na ninakubaliana na wewe asilimia 100..shida ni kwamba watu wanainanga hii awamu kama kwamba uwiz haukutokea katika awamu zilizopita..ukwel ni kwamba awamu zote zilipiga hela ndefu mno tena zaid hata ya awamu hii..utoafuti ni kwamba awamu zingine kulikuwa na kakikundi kawatu ambacho walifaidika na uwizi wao haukutolewa wote mwingi ulifichwa..lakin pamoja na hayo wameiba na hawakufanya maendeleo yanayoonekana kwa wananchi..ila hii ya awamu ya tano angalau kaiba lakin tunaona vitu vikubwa kabisa vya msingi vimetekelezwa tofaut na awamu zilizopita..
Hapo ndo tunatofautiana na wadau hao.ila kuhusu swala la uwiz nakubaliana nalo, napinga kuisema hii serikal iliyopita na kuona zile awamu zingine hazikuiba..hapo napinga
 
Hiyo mirad inaoperate au haioperate? Meli zinasafirisha watu hazisafirishi? Viwanja vya ndege havijakarabitiwa? Shule watoto hawasomi bure?? Vituo vya afya havipo? Acha ushamba mzee..heri utuibie wakat huo huo tunaona tunapata huduma za kijamii hata kama sio bora lakin ni heri kuliko kuzikosa kabisa..awamu zilizopita hela zilikuwa zinapigwa na bado watu wanalia huduma mbovu za serikal..ww ni mmoja kati ya watz wajinga ambao mwalimu asisitiza tuuondoe huo ujinga ila ww bado uko nao mwingi mno.
I am very dissappointed by your views. I gues if you are a graduate probably you are from Yohana University. You are completely incompatible with the current trend especially in the economic percel.
Tusiwe na jazba sana mkuu turuhusu kutofautiana kimawazo.

Nimeshangaa sana kuona watu wanaizungumzia sana report ya CAG ilihali kila mwaka haya yalisemwa kwa intensity zilizotofautiana. Tamisemi haijawahi kuacha kupata hati chafu...mashirika yetu ya umma hayajawahi kujiendesha kwa faida miaka yote iliyodumu. Pengine tatizo ni hivi karibuni hayati kutuaminisha kuwa wanaleta magawio ilhali ukweli si huo(kama CAG alivyoainisha.)

Hilo la juu limenishangaza lakini nikiri wewe umenishangaza zaidi mkuu. Muono wako si tu hauendani na current trend being it economic or political bali hata haugusi kwenye ukweli. Labda nikijibu maswali yako utaelewa.

Umehoji juu ya miradi kuwepo au kutokuwepo....
Nadhani unazungumzia miradi iliyopewa jina ya miradi yakimkakati. well binafsi naomba nikuambie jambo hakuna uongozi uliomaliza awamu yake bila kutekeleza miradi yenye usawia na miradi iliyotekelezwa na awamu ya 5 kwenye nusu ya kwanza ya muhula wake. Mzee kikwete alijenga mara 2 ya kilometa za lami zilizojengwa na awamu hii...
Screenshot_20210410-221418.jpg
Source hotuba ya WFM 2021
Labda nikujulishe kuwa unaosema hakuna lolote walilofanya kwenye utendaji wao waliweza kujenga karibu kilometa 10,000 za lami. Nafikiri wasomi wazuri huwa wako objective au labda ulisema ulilosema ukiwa hauyafahamu haya. Likewise kwenye madaraja, masoko, vituo vya mabasi na kadhalika(ikiwa hapa utahitaji maelezo zaidi nitakuja tuzungumzie ya terminal 3, daraja la kigamboni na uwanja wa mkapa vina case inayofannana sana)

Nikiri sijui sana kuhusu meli na ndege. Sitaviongelea

umehoji pia juu ya watoto kusoma bure. Umesoma zama ipi mkuu? Elimu yetu ilikuwa bure miaka mingi sana na baada ya muda ikaja kuwa elimu changizi baina ya wazazi na serikali huku serikali ikibeba jukumu kubwa kwenye kufund elimu(hapa waumini wa elimu bure huwa hawapasemi kabisa) Pengine wewe haujui lakini awamu zilizopita zilijicommit kwenye elimu kuliko awamu unayosema imetoa elimu bure.

awamu ya 3 na ya 4 zilifund shule za kata na kuongeza idadi ya wanafunzi pamoja na walimu kwa karibu mara 2. Tulikuwa na shule za sekondari 1700 tu mwaka 2005, zilifikia zaidi ya 4000 mwaka 2015. Don't tarnish reputations za watu kwa sababu ya kutojua.

Kwenye elimu uliyoitaja sera ya elimu bure haikuwa na lengo. Labda niseme ni mojawapo kati ya sera ambayo ilikuwa more political kuliko kuwa realistic. Labda wewe useme kwanini hakujawa na concurrent policy development kwenye elimu. Tumejenga shule tumtriplicate namba ya wanafunzi tukaweka kipaumbele kwenye uandaaji wa waalimu vyuoni tukawavutia kwa kuwapa mikopo bila kuhoji lakini ghafla sera ikabadilika kuwa kutokutoza 70,000 kwa shule za bweni na 20,000 kwa shule za kata.

Nasema hili kwakuwa shule nyingi michango iko pale pale na hilo liko chini ya wakurugenzi. Tuliandaa sera alafu tukasema lakini mkurugenzi anaweza kuweka kiasi kadhaa.

HAKUNA AWAMU INAYOWEZA KUJUSTIFY WIZI au MATUMIZI MABOVU. Usitetee uovu. Achana na hayo yote concern yangu kubwa ni circus ya ukuaji wa uchumi
Screenshot_20210410-224025.jpg

2021
Screenshot_20210410-224438.jpg

2016
Sijabahatika kupata taarifa ya 2005 pengine nayo ingetupa somo kubwa pia.
 
Kwani kabla ya Magufuli barabara na madaraja yalikuwa hayajengwi?
Wakati wa utawala wa awamu ya 4 zilijengwa kilometers nyingi za lami ambazo hazikufikiwa hata kwa 30% wakati wa awamu ya 5. Kuna miradi mingi iliyofanywa na kukamilika awamu ya 4 ambayo huwezi kuilinganisha na ile iliyofanywa awamu ya 5.

Msimsakame mzee Kikwete, mengi makubwa sana yalifanyika wakati wa utawala wake.

Aliyetutangulia apumzike, palipoharibiwa parekebishwe.
 
Wakati wa utawala wa awamu ya 4 zilijengwa kilometer nyingi za lami ambazo hazikufikiwa hata kwa 30% wakati wa awamu ya 5. Kuna miradi mingi iliyofanywa na kukamilika awamu ya 4 ambayo huwezi kuilinganisha na ile iliyofabywa awamu ya 5.

Aliyetutangulia apumzike, palipohatibiwa parekebishwe.
Uko sahihi.
 
Hasara ya matrilioni Mkuu. Bei ya ndege tu ni zaidi ya trillion 3 hujagusa hasara ya kila mwaka na sekta mbali mbali ambazo tumepigwa na haya majizi na mafisadi.
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL.

Hasara na upotevu huu uliotokea chini ya utawala wa Magufuli, ni mbali na mamilion na mabilioni mengine yaliyopotea katika sekta za utalii, n.k kama inyoonyeshwa katika report ya CAG ya mwaka huu.

Bado hasara zinazotokana na serikali kufunguliwa makesi katika mahakama za usuluhishi za kimataifa bila kusahau hasara zilizotokana na siasa za hovyo za watu kujiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi na kuliingiza Taifa gharama kubwa za mamilion kugharamia chaguzi ndogo.

Kwa kifupi, katika awamu ya Magufuli, Taifa limepata hasara kubwa Katika baadhi ya maeneo na pia kuna fedha nyingi zimetumika na kuacha utata mtupu kama hayo matumizi ya shilingi trilioni moja yaliyohojiwa na wabunge wa upinzani baada ya kuichambu report ya CAG aliepita(Prof.Assad).

Itakuwa ni jambo jema Bunge kuunda kamati teule kuchunguza utata wa matumizi haya ya shilingi trilioni 1.5 ili umma ujue ukweli ni upi na si hizi kelele za MATAGA kutaka kutuaminisha kuwa ufisadi ulidhibitiwa enzi za Hayati Magufuli tofauti na awamu zilizopita.

Kama hamtaki kuchunguza tuhuma hizi, acheni kumlinganisha Magufuli na watangulizi wake, hasa Kikwete, ambae wakati wake Bunge liliweze kuunda kamati teule na kuchunguza tuhuma zinazoihusu serikali, na pia vyombo vya habari viliweza kuanika kashifa mbalimbali za serikali bila kusahau Whistleblowers (kina Tumbili) waliweza kuanika madudu yaliyokuwa yanaendelea serikalini tofauti kabisa na ilivyokuwa wakati wa Magufuli .
 
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL.

Hasara na upotevu huu uliotokea chini ya utawala wa Magufuli, ni mbali na mamilion na mabilioni mengine yaliyopotea katika sekta za utalii, n.k kama inyoonyeshwa katika report ya CAG ya mwaka huu.

Bado hasara zinazotokana na serikali kufunguliwa makesi katika mahakama za usuluhishi za kimataifa bila kusahau hasara zilizotokana na siasa za hovyo za watu kujiuzulu kwa hoja ya kuunga mkono juhudi na kuliingiza Taifa gharama kubwa za mamilion kugharamia chaguzi ndogo.

Kwa kifupi, katika awamu ya Magufuli, Taifa limepata hasara kubwa Katika baadhi ya maeneo na pia kuna fedha nyingi zimetumika na kuacha utata mtupu kama hayo matumizi ya shilingi trilioni moja yaliyohojiwa na wabunge wa upinzani baada ya kuichambu report ya CAG aliepita(Prof.Assad).

Itakuwa ni jambo jema Bunge kuunda kamati teule kuchunguza utata wa matumizi haya ya shilingi trilioni 1.5 ili umma ujue ukweli ni upi na si hizi kelele za MATAGA kutaka kutuaminisha kuwa ufisadi ulidhibitiwa enzi za Hayati Magufuli tofauti na awamu zilizopita.

Kama hamtaki kuchunguza tuhuma hizi, acheni kumlinganisha Magufuli na watangulizi wake, hasa Kikwete, ambae wakati wake Bunge liliweze kuunda kamati teule na kuchunguza tuhuma zinazoihusu serikali, na pia vyombo vya habari viliweza kuanika kashifa mbalimbali za serikali bila kusahau Whistleblowers (kina Tumbili) waliweza kuanika madudu yaliyokuwa yanaendelea serikalini tofauti kabisa na ilivyokuwa wakati wa Magufuli .
Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze

1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi

2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu

3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.

4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.

5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.

6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.

7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.

8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.

9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.

10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.

Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
 
Richmond, Dowans, IPTL, Escrows pesa za wizi kugawiwa hadi ndani ya Ikulu. Kikwete naye ni mwizi tu! Eti sasa tunalivua gamba!

Wakati wa utawala wa awamu ya 4 zilijengwa kilometer nyingi za lami ambazo hazikufikiwa hata kwa 30% wakati wa awamu ya 5. Kuna miradi mingi iliyofanywa na kukamilika awamu ya 4 ambayo huwezi kuilinganisha na ile iliyofabywa awamu ya 5.

Msimsakame mzee Kikwete, mengi makubwa sana yalifanyika wakati wa utawala wake.

Aliyetutangulia apumzike, palipohatibiwa parekebishwe.
 
Tusiwe na jazba sana mkuu turuhusu kutofautiana kimawazo.

Nimeshangaa sana kuona watu wanaizungumzia sana report ya CAG ilihali kila mwaka haya yalisemwa kwa intensity zilizotofautiana. Tamisemi haijawahi kuacha kupata hati chafu...mashirika yetu ya umma hayajawahi kujiendesha kwa faida miaka yote iliyodumu. Pengine tatizo ni hivi karibuni hayati kutuaminisha kuwa wanaleta magawio ilhali ukweli si huo(kama CAG alivyoainisha.)

Hilo la juu limenishangaza lakini nikiri wewe umenishangaza zaidi mkuu. Muono wako si tu hauendani na current trend being it economic or political bali hata haugusi kwenye ukweli. Labda nikijibu maswali yako utaelewa.

Umehoji juu ya miradi kuwepo au kutokuwepo....
Nadhani unazungumzia miradi iliyopewa jina ya miradi yakimkakati. well binafsi naomba nikuambie jambo hakuna uongozi uliomaliza awamu yake bila kutekeleza miradi yenye usawia na miradi iliyotekelezwa na awamu ya 5 kwenye nusu ya kwanza ya muhula wake. Mzee kikwete alijenga mara 2 ya kilometa za lami zilizojengwa na awamu hii...View attachment 1748792Source hotuba ya WFM 2021
Labda nikujulishe kuwa unaosema hakuna lolote walilofanya kwenye utendaji wao waliweza kujenga karibu kilometa 10,000 za lami. Nafikiri wasomi wazuri huwa wako objective au labda ulisema ulilosema ukiwa hauyafahamu haya. Likewise kwenye madaraja, masoko, vituo vya mabasi na kadhalika(ikiwa hapa utahitaji maelezo zaidi nitakuja tuzungumzie ya terminal 3, daraja la kigamboni na uwanja wa mkapa vina case inayofannana sana)

Nikiri sijui sana kuhusu meli na ndege. Sitaviongelea

umehoji pia juu ya watoto kusoma bure. Umesoma zama ipi mkuu? Elimu yetu ilikuwa bure miaka mingi sana na baada ya muda ikaja kuwa elimu changizi baina ya wazazi na serikali huku serikali ikibeba jukumu kubwa kwenye kufund elimu(hapa waumini wa elimu bure huwa hawapasemi kabisa) Pengine wewe haujui lakini awamu zilizopita zilijicommit kwenye elimu kuliko awamu unayosema imetoa elimu bure.

awamu ya 3 na ya 4 zilifund shule za kata na kuongeza idadi ya wanafunzi pamoja na walimu kwa karibu mara 2. Tulikuwa na shule za sekondari 1700 tu mwaka 2005, zilifikia zaidi ya 4000 mwaka 2015. Don't tarnish reputations za watu kwa sababu ya kutojua.

Kwenye elimu uliyoitaja sera ya elimu bure haikuwa na lengo. Labda niseme ni mojawapo kati ya sera ambayo ilikuwa more political kuliko kuwa realistic. Labda wewe useme kwanini hakujawa na concurrent policy development kwenye elimu. Tumejenga shule tumtriplicate namba ya wanafunzi tukaweka kipaumbele kwenye uandaaji wa waalimu vyuoni tukawavutia kwa kuwapa mikopo bila kuhoji lakini ghafla sera ikabadilika kuwa kutokutoza 70,000 kwa shule za bweni na 20,000 kwa shule za kata.

Nasema hili kwakuwa shule nyingi michango iko pale pale na hilo liko chini ya wakurugenzi. Tuliandaa sera alafu tukasema lakini mkurugenzi anaweza kuweka kiasi kadhaa.

HAKUNA AWAMU INAYOWEZA KUJUSTIFY WIZI au MATUMIZI MABOVU. Usitetee uovu. Achana na hayo yote concern yangu kubwa ni circus ya ukuaji wa uchumi View attachment 1748805
2021
View attachment 1748807
2016
Sijabahatika kupata taarifa ya 2005 pengine nayo ingetupa somo kubwa pia.
Umechambua vizuri sana..mimi sitetei uovu mkuu..nachopinga ni kuona watu wanainanga serikal ya jpm kuwa wameiba wakat hata zilizopita waliiba tena sana kuifanya serikal kuwa ni ya kifamilia hapo ndipo tunapishana na wadau..
Kuhusu elimu bure, elimu bure zamani iliishia kwa nyerere na mwinyi kiasi ila vipind vilivyofuata ni pesa, na pamoja na kutoa pesa still michango mingine ilikuwepo tuu..ila kwa awamu hii hakuna ada isipokuwa michango imekuwepo japo co kwa shule zote inategemea na kulemewa kwa shule husika.
 
Hata kama amefariki lazima tuseme ili waliopo wajifunze

1. Alikuwa mtu mwenye roho mbaya, mshenzi, muuaji na aliyependa kuona watu wenye maendeleo au waliotofautiana nae wakiteseka sana. Mfano wa haya ni kwa vile walivyowafanyia Manji, Erick Kabendera, Ben saanane, Rwabaje, Mama yake Erick Kabendera, Mdude Nyangali, Zacharia na watu wengine wengi

2. Alikuwa mtu Mbinafsi sana, aliyependa sifa zote zirudi kwake. Alipenda kusifiwa, kuonekana yeye ni bora kuliko wenzake. Hata kwenye hotuba zake alipenda kujionesha ni yeye zaidi na wala sio wenzake. Rejea hotuba alizokuwa akisema bila yeye miradi haitofanikiwa. Aliwapa vyeo bila aibu watu waliokuwa wakimsifu yeye binafsi. Mf. Katambi, Sabaya, kafulila, Mrema, Babu

3. Alikuwa mkabila na mbaguzi wa kikanda aliyetukuka. Kwenye awamu yake alijaza watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma na mapandikizi wenzake kutoka Rwanda na Burundi kwenye nafasi nyeti serikalini. Bashiru, Kakoko, Doto James na wengineo wengi ni mifano michache tu. Hawa watu walikuwa hawagusiki na waliweza kufanya lolote lile kwa jina lake na yeye hakusema lolote. Hawa watu waliweza hata kuwadharau waziwazi Waziri Mkuu na Makamu wa Rais na wala hawakujali mfumo wa utendaji serikalini. Waliweza kupiga simu au kupita moja Kwa moja ikulu hadi kwa Magufuli bila kupita kwa waziri, waziri mkuu au hata Makamu wa Rais.

4. Kwa kujua kwake kuwa ni kweli aliharibu uchumi wa nchi kwa sera zake mbaya, aliwekeza sana kwenye propaganda za kujitangaza sana kupitia vyombo vya Habari ili kuwa brainwash watu wasiofikiri vizuri. Tv zote, magazeti, blogu na hata viongozi wa dini aliwatumia kumtangaza yeye muda wote na kumsifu yeye muda wote ili aonekane ni Bora kuliko wenzake. Ofisi za Taifa zilifanywa kutengeneza data za uongo ili aonekane anafanya vizuri kumbe nchi ilikuwa inaenda pabaya sana. Rejea taarifa aliyotoaga kuwa ATCL inapata faida ya bil 28.

5. Aliwadharau sana wenzake. Na alifanya kila jitihada wenzake waonekane watu wasiofaa ( hasa viongozi waliopita). Aliishi nao kiunafiki akiwatumia vijana wake Kama Msiba, Sabaya , Makonda na Aly Happi kuwatukana na kuwatisha ili aharibu taswira yao kwa jamii na ajitengeneze kuwa ni Bora kuliko wao.

6. Alianzisha mambo ili kuwakomoa watu waliokuwa tofauti nae. As Kofi niwemugizi, Aidan Eyakuze, Yusuph Manji ni wachache kwenye hii list, walianza kuhojiwa uraia, wakanyang’anywa passport na kupewa kesi mbalimbali ili kukomolewa kutokana na kutofautiana nae.

7. Kwa sera zake mbovu, aliharibu kwa kiasi kikubwa uchumi hivyo kupelekea kuwepo tatizo kubwa la ajira . Ili kujiokoa na Tatizo hili Kwa kuwapumbaza watanzania wajinga alianzisha utaratibu wa kujifanya kuwa karibu na Mama lishe na bodaboda huku akisema kuwa wanaruhusiwa kufanya Biashara popote pale. Alifanya hili Kwa sababu alijua kabisa kuwa ameharibu uchumi wa Tanzania na amesababisha watu wengi kukosa ajira. Kuepuka lawama akataka kuifanya nchi nzima kuwa nchi ya wachuuzi huku akiharibu mipango miji na kusababisha walipa kodi wapungue kwa kasi.

8. Kutokana na kuwa na sera mbovu za kiuchumi huku akiiba Mali za watanzania Kwa kigezo cha uzalendo, akiogopa kupinduliwa na jeshi na wasaidizi wake, aliamua kufuatilia maongezi ya wasaidizi wake wote akiwemo Makamu wa Raisi , Mawaziri na viongozi wa Ccm. Alikuwa hadi meseji zao anasoma na alivyo mshamba alikiri hadharani kuwa anafuatilia mawasiliano ya watu. Alianzisha pia utaratibu wa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa nae popote pale anapokuwepo. Huu utaratibu ulikuja kuonekana katika awamu ya 5 tu maana Kwa awamu ya 1 hadi ya 4 haikuwai kutokea wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na spika na Jaji mkuu kuambatana na Rais popote pale anapokuwa.

9. Alikuwa muuaji
Niliwai bishia watu wengi kwenye hili ila nilikuja kuthibitisha alipokuja tamka hadharani kuwa huwezi kuwa msaliti alafu uka survive na baada ya hotuba yake iyo Tundu Lissu alikuja kushambuliwa kwa Risasi 38 huku 16 zikiingia mwilini wake.

10. Alijiona ni Bora kuliko mtu yeyote yule na alitaka neno lake ndo liwe mwisho. Alisema hadharani kuwa hashauriki na kila mtu aliyekuwa akimshauri alimchukulia kama adui yake. Siku za mwisho za uhai wake alitofautiana na kupingana Hadi na viongozi wa dini wa kanisa katoliki ambao waliamua kushauri nchi kuchukua hatua tofauti dhidi ya corona.

Mungu fundi sana! Alale anapostahili mwendazake.
Hii comment haikustahili kuwa comment bali uzi unaojitegemea.Asante sana kwani umemaliza karibu kila kitu kuhumuhusu marehemu.

Ningekuwa Moderator ningeiweka hii comment hapo juu kwenye huu uzi.

Umenena vyama sana kuhusu Magu.

Hongera kwa comment hii.
 
Wakati wa utawala wa awamu ya 4 zilijengwa kilometers nyingi za lami ambazo hazikufikiwa hata kwa 30% wakati wa awamu ya 5. Kuna miradi mingi iliyofanywa na kukamilika awamu ya 4 ambayo huwezi kuilinganisha na ile iliyofanywa awamu ya 5.

Msimsakame mzee Kikwete, mengi makubwa sana yalifanyika wakati wa utawala wake.

Aliyetutangulia apumzike, palipoharibiwa parekebishwe.
Watu mnasemea barabara wakat wa kikwete..mnashindwa kujua kwamba hizo barabara aliekuwa anazisimamia zijengwe ni huyo huyo mnaemsimanga leo..kama sio yeye aliesimamia hyo miradi ya barabara nazan muda huu msingekuwa na lakusema..mnasema kikwete kajenga barabara nyingi..magufuli akiwa mtendaji mkuu..alaf hakuna kingine kilichofanyika pas na barabara wizara zingine zilikuwa zinaiba tuu pesa..
 
Back
Top Bottom