Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stupid! Cooked stories from same people. Tunajua Chadema mliumia na mengi ila hapa hatutoangalia sura bali nani anasimama na ukweli bila hila. Mtaelewa baadae ...
We Kenge..umesahau EPA, ESCROW, IPTL, TWIGA, GAS ILIOUZWA WA WACHINA, WATUMISH HEWA, DAWA ZA KULEVYA, RICHMOND.
Kaa kimya..leo tunaona madaraja, flyover, meli zilizonunuliwa, ukarabati wa shule kongwe, viwanja vya ndege, ndege 11..watoto wamasoma buree..
Wakat hizo pesa za escrow zilipopigwaa hayo yote hayakuwepo.
Kaa kimyaa nyau kabisaa ww..
Uwazi na uhuru wa vyombo vya habari pamoja na bunge imara lisiloingiliwa na serikali vilifanya ujue haya yote chini ya jakaya. Ila awamu ya tano tumeona vyombo vya habari na upinzani ukiminywa pia uwazi ulikosekanika kabisa. Tungeyajulia wapi hayo hakuna ruhusa hata ya kufanya takwimu wala mikutano ya kisiasa.We Kenge..umesahau EPA, ESCROW, IPTL, TWIGA, GAS ILIOUZWA WA WACHINA, WATUMISH HEWA, DAWA ZA KULEVYA, RICHMOND.
Kaa kimya..leo tunaona madaraja, flyover, meli zilizonunuliwa, ukarabati wa shule kongwe, viwanja vya ndege, ndege 11..watoto wamasoma buree..
Wakat hizo pesa za escrow zilipopigwaa hayo yote hayakuwepo.
Kaa kimyaa nyau kabisaa ww..
Hiyo mirad inaoperate au haioperate? Meli zinasafirisha watu hazisafirishi? Viwanja vya ndege havijakarabitiwa? Shule watoto hawasomi bure?? Vituo vya afya havipo? Acha ushamba mzee..heri utuibie wakat huo huo tunaona tunapata huduma za kijamii hata kama sio bora lakin ni heri kuliko kuzikosa kabisa..awamu zilizopita hela zilikuwa zinapigwa na bado watu wanalia huduma mbovu za serikal..ww ni mmoja kati ya watz wajinga ambao mwalimu asisitiza tuuondoe huo ujinga ila ww bado uko nao mwingi mno.
I am very dissappointed by your views. I gues if you are a graduate probably you are from Yohana University. You are completely incompatible with the current trend especially in the economic percel.
Usisahau uhasibu arusha,na Mandela university .Udom, ESAMI, chuo cha mipango, B.Mkapa hosp, JKCI, MOI n.k
YapUsisahau uhasibu arusha,na Mandela university .