Chips zina nguvu kuliko ugali

Chips zina nguvu kuliko ugali

kinachowafanya watu wasingizie chips sio chakula chenye nguvu ni umasikini tu uliotujaa, mtu anapiga hesabu chips za 1500 ni sawa na gharama ugali wa unga robo na dagaa pembeni akila lazima ashibe ila hizo chips za 1500 akimaliza kama hakijatokea kitu.... Sasa hapo ndo unapata majibu kwamba kumbe ni gharama za kununua chips za kushiba ndo kubwa..... Mtu anaekula chips za 3000 kavu pembeni akaweka mishkaki 10 na kinywaji pembeni we wa unga robo utamshinda nguvu kivipi? Tafuteni hela muache kusingizia vyakula ndo havina nguvu.... Wenzetu wanakula Buggers,Pizzas, Chips na Mikuku tena Broillers ila still ukifanya uchunguzi bado wanatuzidi kila kitu.
Kwenye kombe la dunia timu za wala ugali (African) ndio legelege na zinakata pumzi fasta, za kizungu ndio zinatawala

Imagine Timu ya wala ugali (Tanzania) ipambane na timu ya wazungu (Ujerumani)
 
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani.

Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina kilo calories(Kcal) 350. Wakati grams 100 za ugali zina kilocalories 210.

Lakini hapa pia inategemea ni chips nini au ugali na mboga gani. Ugali maharage una nguvu sana. Maana 100g za maharage zina kilocalories 340. Ukipiga ugali maharage unakuwa poa, lakini ukipiga ugali mlenda ni sawa tu na mtu ambaye hajala.
ebu tupe reference ya hivo vizio vyako
 
Mbona wasukuma wako vzr sana kinguvu za mwili ukilinganisha na wanaume wa dsm.

Hoja yako mbona haijakaa sawa.

#MaendeleoHayanaChama
Katazame ugali anaokula msukuma katazame na ugali wanaokula wanaume wa dsm ndio uje kulinganisha hivyo vitu hp
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Unalingaisha nguvu ya viazi vibichi na vilivokaangwa na mafuta (achilia mbali ya transformer)
 
Aisee wengine bila kula Ugali tunaona kama hatujala...
 
Anayoyasema mtoa mada ni sahihi lakini ugali una faida moja kubwa ni kwamba ugali unameng'enywa taratibu katika tumbo la mwanadamu hivyo inapelekea huyo binadamu aliekula ugali kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu maana tumboni kitu kinapungua taratibu

Lakini chips zinameng'enywa haraka na baada ya muda kidogo aliekula chips atahisi njaa

Ndo maana miaka ya zamani mpaka leo huwezi pata bondia kutoka kagera,kipindi tunasoma zamani vijana wa kagera tulikuwa tunawapiga makwenzi sana kwasababu walikuwa hawana nguvu kutokana na kula ndizi
Ngoja mkuu HAYA LAND na instanbul waje akupige ndoige [emoji41]
 
Back
Top Bottom