Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Ndio maana ikaitwa secret recipe hata kuku wao huoni ladha tofauti?
Unaweza kujua wanaweka nini ila weka wewe sasa
Hebu fanya jaribio hili kwa watu wawili wape viungo sawa na hata mafuta na kiasi kimoja
Yaani vyote vifanane halafu waambie wapike lazima utaona utofauti ingawa kila kitu ni kile kile hapo ndio inaingia siri ya mapishi mkuu
Kujua viwango ndo kipengele
 
Kweli kabisa unachosema ila la kuongezea tu sisi tunajua viungo tulivyo navyo na tulivyozoea tu na hakuna wa kujiongeza
Kuna msomali nilimuona youtube jamaa kasoma nje kaamua kwenda kenya na kuchukua shamba kubwa na amelifanya la kumwagilia
Amepanda Celery, parsley, Dill, caraway, coriander na vingine nimesahau
Yaani kwa sasa anasafirisha uk na Germany
Sasa hata sisi tungevitambulisha nchini kwa wingi mpaka mama ntilie na mahotelini wakatumia nafikiri mapishi na ladha ingebadilika kabisa

Aise viungo vinabadili dish
Mama nitilie wa bongo Royco mchuzi mix na nazi tu vinatosha.
 
Dar Food production haina hela mana hata watu wa restaurant awaited, mawaitres mabarman na barlady wanalipwa mpaka 150. Zanzibar sekta hii ni kubwa sana. Huku resta analipwa elf 5 kwa siku na hakuna tip wala nn
Kwahy unatushauri nini sisi vijana wasakatonge
 
Back
Top Bottom