Chipsi za kfc huwa zinakaangwaje? Mbona size moja na tamu mno

Kujua viwango ndo kipengele
 
Mama nitilie wa bongo Royco mchuzi mix na nazi tu vinatosha.
 
Dar Food production haina hela mana hata watu wa restaurant awaited, mawaitres mabarman na barlady wanalipwa mpaka 150. Zanzibar sekta hii ni kubwa sana. Huku resta analipwa elf 5 kwa siku na hakuna tip wala nn
Kwahy unatushauri nini sisi vijana wasakatonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…