Good doctor
Member
- Mar 7, 2024
- 56
- 118
Mbona mimi nakupenda hata sikusumbui #chai anazingua #Hii nzuri π
Enhee wewe chai ya rangi kwanini unanianzishia nyuzi hata kama unajua sipendi?
Kwanini unafanya watu wawaze hiyo I'd yako ni yangu na pengine nataka attention
Umeshindwa kunitafuta privete?
Wallah unanikwaza
Najua pengine ni utani ila uishie basi kwa comment sio kuanzishiana nyuziπ
chai ya rangi kama kweli unanipenda kwanini husikilizi nachosema π€
Tawile mkuu weleteSiri sirini masharti mtayaweza
Lala weweHebu kalaleni hamuonei huruma hiyo mimacho tokea asubuhi ipo kodo tu!
Saa tano hii usiku mi mtu ya jf ipo macho hata haina chembe ya usingizi!, mijitu ya humu imekaa kichawichawi tu!.
Unawaza kuwa mlinzi tu huna unachokilinda bali kuiba kalale we jambanoka...π€£Lala wewe
Tukilala wote nani atalinda mali za watu?
Nyokoooo zako we mtoto π€£Unawaza kuwa mlinzi tu huna unachokilinda bali kuiba kalale we jambanoka...π€£
Mi sifanyi kazi za wizi na ujambazi utanisamehe kwa hilo!..πNyokoooo zako we mtoto π€£
kama kuna dili la kutia kabari mtu tuingize hela nishtue chap
Ni hiviπ₯·
na mshana ajibu apa ..nilimuona kule anamfundisha mkwe wake kukutongoza πHii nzuri π
Enhee wewe chai ya rangi kwanini unanianzishia nyuzi hata kama unajua sipendi?
Kwanini unafanya watu wawaze hiyo I'd yako ni yangu na pengine nataka attention
Umeshindwa kunitafuta private?
Wallah unanikwaza
Najua pengine ni utani ila uishie basi kwa comment sio kuanzishiana nyuziπ
chai ya rangi kama kweli unanipenda kwanini husikilizi nachosema π€
Tufungue kanisa basi tutoe watu mapepo muhimu tuhakikishe watu wanatoa fungu la kumi kwa uaminifuMi sifanyi kazi za wizi na ujambazi utanisamehe kwa hilo!..π
Huyu Mshana Jr ananitaka la rohoni we muache sema najua pa kumpatana mshana ajibu apa ..nilimuona kule anamfundisha mkwe wake kukutongoza π
Sawa mama mchungajiTufungue kanisa basi tutoe watu mapepo muhimu tuhakikishe watu wanatoa fungu la kumi kwa uaminifu
Sawa ba mchungaji hilo limepitaπSawa mama mchungaji
Kawaida hua sina chuki na mtu kabisaNaona leo umereact kwenye post yangu Bila hiyana kabisa π
Sijawahi kuwa na chuki wala kinyongo na wewe binti mrembo ShesRise_1 View attachment 3591976