Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.

Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.

Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.

Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.

Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.

Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.

Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
In a serious tone, usiruhusu hali ya kumuona mama yake kama mbaya wako ikutawale. Sometimes watu wanapitiamo humo ili mfarakane.

Muhimu zaidi Just jiweke mbali naye for good. Endelea kumsaidia kwa kadili inavyowezekana na kuhitajika.
Haulazimiki kumhusisha na mambo yako.
 
Cha msingi kabla ya Chochote we Anza kuomba!
Tubu Kwa ajili e,Kwa ajili yake pia ,tubu Kwa ajili ya mlango wowote ambao adui anautumia kuua hivyo vitu.
Halafu kemea roho ya mauti
Lkn pia omba Mungu akuonyeshe nani Yuko nyuma ya hiyo kitu, utakuja kuniambia hapa.
Na ukiomba kuwa makini hata ndoto utakazokua unaota,maana Mungu huwa anasema na watu Kwa njia nyingi na hii ni mojawapo kubwa!
Sawa na Ayubu 33:14-17
Amina
 
In a serious tone, usiruhusu hali ya kumuona mama yake kama mbaya wako ikutawale. Sometimes watu wanapitiamo humo ili mfarakane.

Muhimu zaidi Just jiweke mbali naye for good. Endelea kumsaidia kwa kadili inavyowezekana na kuhitajika.
Haulazimiki kumhusisha na mambo yako.
Wazo jema. Huwa nafanya kama ilivyo shauri
 
mkuu Bujibuji Simba Nyamaume naomba unieleweshe kwa kina, 🙏🏾
Mama yake Yakobo aliiba baraka za Esau.

Mwanzo 27:1-29
[1]Ikawa Isaka alipokuwa mzee, na macho yake yamepofuka asione, akamwita Esau, mwanawe mkubwa, akamwambia, Mwanangu. Naye akamwitikia, Mimi hapa.
And it came to pass, that when Isaac was old, and his eyes were dim, so that he could not see, he called Esau his eldest son, and said unto him, My son: and he said unto him, Behold, here am I.
[2]Akasema, Tazama, sasa mimi nimekuwa mzee, wala sijui siku ya kufa kwangu.
And he said, Behold now, I am old, I know not the day of my death:
[3]Basi, nakuomba, chukua mata yako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo;
Now therefore take, I pray thee, thy weapons, thy quiver and thy bow, and go out to the field, and take me some venison;
[4]ukanifanyie chakula kitamu namna ile niipendayo, ukaniletee, ili nile; na roho yangu ikubariki, kabla sijafa.
And make me savoury meat, such as I love, and bring it to me, that I may eat; that my soul may bless thee before I die.
[5]Na Rebeka akasikia, Isaka aliposema na Esau mwanawe. Basi Esau akaenda nyikani awinde mawindo, ayalete.
And Rebekah heard when Isaac spake to Esau his son. And Esau went to the field to hunt for venison, and to bring it.
[6]Rebeka akamwambia Yakobo mwanawe, akisema, Angalia, nimemsikia baba yako akisema na Esau, ndugu yako, akinena,
And Rebekah spake unto Jacob her son, saying, Behold, I heard thy father speak unto Esau thy brother, saying,
[7]Niletee mawindo, ukanifanyie chakula kitamu ili nile, na kukubariki mbele za BWANA kabla ya kufa kwangu.
Bring me venison, and make me savoury meat, that I may eat, and bless thee before the LORD before my death.
[8]Basi, mwanangu, sikiliza sauti yangu kama nitakavyokuagiza.
Now therefore, my son, obey my voice according to that which I command thee.
[9]Enenda sasa kundini ukanitwalie wana-mbuzi wawili walio wema, nami nitawafanya chakula kitamu kwa baba yako, namna ile aipendayo.
Go now to the flock, and fetch me from thence two good kids of the goats; and I will make them savoury meat for thy father, such as he loveth:
[10]Kisha utampelekea baba yako, apate kula, ili akubariki kabla ya kufa kwake.
And thou shalt bring it to thy father, that he may eat, and that he may bless thee before his death.
[11]Yakobo akamwambia Rebeka mamaye, Esau ndugu yangu ni mtu mwenye malaika, na mimi ni mtu laini.
And Jacob said to Rebekah his mother, Behold, Esau my brother is a hairy man, and I am a smooth man:
[12]Labda baba yangu atanipapasa, nami nitakuwa machoni pake kama mdanganyifu; nami nitaleta juu yangu laana wala si mbaraka.
My father peradventure will feel me, and I shall seem to him as a deceiver; and I shall bring a curse upon me, and not a blessing.
[13]Mamaye akamwambia, Laana yako na iwe juu yangu, mwanangu, usikie sauti yangu tu, enenda ukaniletee wana-mbuzi.
And his mother said unto him, Upon me be thy curse, my son: only obey my voice, and go fetch me them.
[14]Akaenda, akawatwaa, akamletea mamaye. Mamaye akafanya chakula kitamu namna ile aliyopenda babaye.
And he went, and fetched, and brought them to his mother: and his mother made savoury meat, such as his father loved.
[15]Kisha Rebeka akatwaa mavazi mazuri ya Esau mwanawe mkubwa, aliyokuwa nayo nyumbani, akamvika Yakobo mwanawe mdogo.
And Rebekah took goodly raiment of her eldest son Esau, which were with her in the house, and put them upon Jacob her younger son:
[16]Na ngozi za wana-mbuzi akamvika mikononi, na katika ulaini wa shingo yake.
And she put the skins of the kids of the goats upon his hands, and upon the smooth of his neck:
[17]Naye akampa Yakobo mwanawe mikononi mwake hicho chakula kitamu, na mkate alioufanya.
And she gave the savoury meat and the bread, which she had prepared, into the hand of her son Jacob.
[18]Akaja kwa baba yake, akasema, Babangu. Akasema, Mimi hapa, U nani wewe, mwanangu?
And he came unto his father, and said, My father: and he said, Here am I; who art thou, my son?
[19]Yakobo akamwambia babaye, Mimi ni Esau, mzaliwa wako wa kwanza, nimefanya kama ulivyoniambia. Ondoka, tafadhali, ukae kitako, ule mawindo yangu, ili roho yako inibariki.
And Jacob said unto his father, I am Esau thy firstborn; I have done according as thou badest me: arise, I pray thee, sit and eat of my venison, that thy soul may bless me.
[20]Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha.
And Isaac said unto his son, How is it that thou hast found it so quickly, my son? And he said, Because the LORD thy God brought it to me.
[21]Isaka akamwambia Yakobo, Karibu, tafadhali, ili nikupapase, mwanangu, nione kwamba wewe ndiwe mwanangu Esau, ama siyo.
And Isaac said unto Jacob, Come near, I pray thee, that I may feel thee, my son, whether thou be my very son Esau or not.
[22]Basi Yakobo akamkaribia Isaka, babaye, naye akampapasa, akasema, Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni mikono ya Esau.
And Jacob went near unto Isaac his father; and he felt him, and said, The voice is Jacob's voice, but the hands are the hands of Esau.
[23]Wala hakumtambua, kwa maana mikono yake ilikuwa kama mikono ya Esau, ndugu yake, yenye malaika; basi akambariki.
And he discerned him not, because his hands were hairy, as his brother Esau's hands: so he blessed him.
[24]Akamwuliza, Wewe ndiwe kweli mwanangu Esau? Akasema, Ndimi.
And he said, Art thou my very son Esau? And he said, I am.
[25]Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.
And he said, Bring it near to me, and I will eat of my son's venison, that my soul may bless thee. And he brought it near to him, and he did eat: and he brought him wine, and he drank.
[26]Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu.
And his father Isaac said unto him, Come near now, and kiss me, my son.
[27]Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema,
Tazama, harufu ya mwanangu
Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.
And he came near, and kissed him: and he smelled the smell of his raiment, and blessed him, and said, See, the smell of my son is as the smell of a field which the LORD hath blessed:
[28]Mungu na akupe ya umande wa mbingu,
Na ya manono ya nchi,
Na wingi wa nafaka na mvinyo.
Therefore God give thee of the dew of heaven, and the fatness of the earth, and plenty of corn and wine:
[29]Mataifa na wakutumikie
Na makabila wakusujudie,
Uwe bwana wa ndugu zako,
Na wana wa mama yako na wakusujudie.
Atakayekulaani alaaniwe,
Na atakayekubariki abarikiwe.
Let people serve thee, and nations bow down to thee: be lord over thy brethren, and let thy mother's sons bow down to thee: cursed be every one that curseth thee, and blessed be he that blesseth thee.
 
Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.

Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.

Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.

Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.

Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.

Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.

Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Mkuu mpige mapanga huyo bibi! Atakuwa witch doctor huyo! Yaani umeshindwa kuyamaliza kimya kimya mpaka umwanike huku?
 
Nawambiaga watu ukiwa unatafutanmaisha ukijua bado hujatusua wala huna any power nyuma yako..

Jitenge na Ndugu na wote wanaokujua yani wanaojua chimbuko lako,nenda mbali kasake maisha yako.

Kuna kitu kama hiyo inamtokea mdogo angu kwa namna yake, sababu naijua na siwezi mwambia Hachelewi niambia "kaka dunia imekuharibu" ukizingatia Asili yetu ulokole ndio kabisa.

Maisha haya ukitaka ufanikiwe kaa mbali na wanaokujua.

Watu huniambia silogeki Lakini hapana si kweli mimi ni mtu ambae sitaki kuzoeleka wala kujulikana wala ile Urafiki wa ndaniiii maana najua adui hupitia humo humo.

Watu huja serious na kuniomba niwapeleke kwa mganga wangu lakini hakuna siri kubwa ktk hii dunia kama Kuwa JESHI LA MTU MMOJA.

Wazazi,Ndugu,marafiki ni wamuhimu katika maisha yetu lakini katika upande na maswala ya mafanikio Binafsi hao watu wana asilimia chache sana za wewe kufanikiwa.

Ili ufike mbali zaidi ni lazima ujitenge na wote hao sehemu wasiokujua ANZA utaona utakavyofanya kila kitu kinafunguka.

Kuna watu wananifata PM kuniambia kila kazi wanayojaribu kufanya inakufa,biashara zina kufa Nawambiaga Hii SIRI ya kujitenga lakini wananchukulia kama nakosa cha kuwashauri, ila kuna faida kubwa sana kuishi na jamiii isiyojua wewe ni nani.

Unakua kama umezaliwa UPYA.
 
Comment bora kbs kuliko zote kwenye huu uzi. Niongezee kidogo hasa kwa wale tunaotoka familia za kimaskini,nawashauri kaeni mbali kbs na ndgu, mbali sana!!

Mkuu CONTROLA nadhani tunaelekea kufanana tabia.
 
Nawambiaga watu ukiwa unatafutanmaisha ukijua bado hujatusua wala huna any power nyuma yako..

Jitenge na Ndugu na wote wanaokujua yani wanaojua chimbuko lako,nenda mbali kasake maisha yako.

Kuna kitu kama hiyo inamtokea mdogo angu kwa namna yake, sababu naijua na siwezi mwambia Hachelewi niambia "kaka dunia imekuharibu" ukizingatia Asili yetu ulokole ndio kabisa.

Maisha haya ukitaka ufanikiwe kaa mbali na wanaokujua.

Watu huniambia silogeki Lakini hapana si kweli mimi ni mtu ambae sitaki kuzoeleka wala kujulikana wala ile Urafiki wa ndaniiii maana najua adui hupitia humo humo.

Watu huja serious na kuniomba niwapeleke kwa mganga wangu lakini hakuna siri kubwa ktk hii dunia kama Kuwa JESHI LA MTU MMOJA.

Wazazi,Ndugu,marafiki ni wamuhimu katika maisha yetu lakini katika upande na maswala ya mafanikio Binafsi hao watu wana asilimia chache sana za wewe kufanikiwa.

Ili ufike mbali zaidi ni lazima ujitenge na wote hao sehemu wasiokujua ANZA utaona utakavyofanya kila kitu kinafunguka.

Kuna watu wananifata PM kuniambia kila kazi wanayojaribu kufanya inakufa,biashara zina kufa Nawambiaga Hii SIRI ya kujitenga lakini wananchukulia kama nakosa cha kuwashauri, ila kuna faida kubwa sana kuishi na jamiii isiyojua wewe ni nani.

Unakua kama umezaliwa UPYA.
We mwamba nakuelewa sana
 
Correlation is not causation.

Inawezekana mtambo wa maji ya line inayokuja kwako ukawa unaruhusu maji yaingie sumu kila Jumapili jioni, labda kuna mfanyakazi mzembe zamu yake ni Jumapili jioni hajui kuweka filter ya kuzuia sumu kuingia kwenye maji line ya mwisho kuingia kwako, na mama yako anakuja kukutembelea kila Jumapili jioni.

Ukaona kila Jumapili jioni mama yako akija kukutembelea watu wa nyumbani kwako wanaumwa, kwa kunywa maji yenye sumu.

Ukasema huyu mama yangu ni mchawi, kila Jumapili jioni akija, watu wanaumwa.

Kumbe ni mambo tofauti yanaendana, bila moja kuwa sababu ya jingine.

Ila, kwa tabia zetu za kukimbilia kuunganisha mambo kichawi, huyo mama haponi hapo.
 
Mkuu CONTROLA Agiza Coca-Cola Emoro Katoni Niambie Ulipe Nitalipa Mimi
Najua Gharama Yake Tshs 6300/= Hiyo Naimudu
 
Back
Top Bottom