Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kuna wengine hadi huruma,
Sijui ni nini! [emoji848]
Mume mkewe mchawi basi huyo Mwanaume wa watu ni mtu wa kuugua tu mara sukari mara vile.
Yaani almanusura za mara Kwa mara kukata moto.
Sema ndugu zake wameshajua kwa hiyo jamaa akishazidiwa wanatia timu na Mganga ndio pona yake!
Na wanajua mchawi ndie anayelala na kula nae.
Lakini kumuacha inakuwa ni ishu wakati yamkini ndio ingekuwa pona yake mazima.
Halafu unakuta ni kikosi kazi na ndugu zake wote wanaongeza nguvu za kutaka kumuua Mwanaume !