Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
nakusubiri AmennMimi nitarudi, niseme kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakusubiri AmennMimi nitarudi, niseme kitu
Huenda sio mama yako mzazi huyo ,fuatilia vizuri.Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
AiseeMimi pia nina tatizo hili. Ni mwaka wa pili tangu nifahamu kwamba Kila ninachomshirikisha mama kinafeli. Kwa sasa najikusanya nihame mkoa kwa siri na kamwe sirudi hata nikisikia amefariki siji kumzika.
Nimejaribu ku Link dots hata huu umaskini unaotuandama unasababishwa na yeye.
Pole sana ! Omba kwa ajili ya vita iliyopo ndani yenu kupitia mama Yako mzazi ! Mungu akuongoze zaidi ...akupe maarifa na hekima zaidi jinsi ya kuamuaa na kuhakikisha usimukwaze mama !! AU AKIJA SEHEMU YOYOTE SEMA MANENO HAYA KIMOYO MOYO "Mungu najua wewe unawajua wazuri wangu na wabaya wangu,Na vunja roho ya uharibifu kwa kile chocolate nilichokianzisha kwa jina la Yesu kristo Amen" .... Mkaribishe kwa Tabasamu lote ila Imani iweke kwa Muumba wako !!
Mimi nikiwaza jambo Zuri afu ndani yake nikamuimagine wife lazima hilo jambo lifeli yani...ila nikijifanyia tu bila kumuwaza lazima litikiNamshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Kwa kuwa haujaomba maoni yetu.Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Nisamee mkuu kwa kauli yangu mbaya ntakayoitumia ila mama ako kama sio mshirikina basi kuna namnaNamshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.
Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.
Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.
Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.
Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.
Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.
Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.
Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Kibobori au ikokooi mbevaLabda anataka uwe Teja ili kazi yake iende vizuri. Kazi yake anaijua mwenyewe.