Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Hamna mtu anafurahia mafanikio yako zaidi ya mama yako, sasa ikiwa ni kinyume chake hiyo ni hatari in
 
Hapo ni ishu ya kuweka vitu vinavyoblock negative energy visikuathiri au kuharibu mradi wapo. Vipo vitu kisayansi vina nguvu ya kufyonza nguvu zote za giza ikiwemo uchawi na kuunetralize usilete madhara mwilini au eneo husika. Mfano madini ya copper, mkaa,nk vinaua vinavyonza negative energy. Thus copper utumika kuzuia madhara ya radi.
 
Nawambiaga watu ukiwa unatafutanmaisha ukijua bado hujatusua wala huna any power nyuma yako..

Jitenge na Ndugu na wote wanaokujua yani wanaojua chimbuko lako,nenda mbali kasake maisha yako.

Kuna kitu kama hiyo inamtokea mdogo angu kwa namna yake, sababu naijua na siwezi mwambia Hachelewi niambia "kaka dunia imekuharibu" ukizingatia Asili yetu ulokole ndio kabisa.

Maisha haya ukitaka ufanikiwe kaa mbali na wanaokujua.

Watu huniambia silogeki Lakini hapana si kweli mimi ni mtu ambae sitaki kuzoeleka wala kujulikana wala ile Urafiki wa ndaniiii maana najua adui hupitia humo humo.

Watu huja serious na kuniomba niwapeleke kwa mganga wangu lakini hakuna siri kubwa ktk hii dunia kama Kuwa JESHI LA MTU MMOJA.

Wazazi,Ndugu,marafiki ni wamuhimu katika maisha yetu lakini katika upande na maswala ya mafanikio Binafsi hao watu wana asilimia chache sana za wewe kufanikiwa.

Ili ufike mbali zaidi ni lazima ujitenge na wote hao sehemu wasiokujua ANZA utaona utakavyofanya kila kitu kinafunguka.

Kuna watu wananifata PM kuniambia kila kazi wanayojaribu kufanya inakufa,biashara zina kufa Nawambiaga Hii SIRI ya kujitenga lakini wananchukulia kama nakosa cha kuwashauri, ila kuna faida kubwa sana kuishi na jamiii isiyojua wewe ni nani.

Unakua kama umezaliwa UPYA.
 
Point
 
Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.

Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.

Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.

Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.

Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.

Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.

Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto
 
Naamini kuna hekima kubwa katika hili na spiritually kujitenga na watu ni kitu kikubwa naelewa how it may work. Pia usipende kurudi ulipofanya kazi siku zilizopita, always go forward na tafuta watu wapya na makazi mapya.
 
Nawambiaga watu ukiwa unatafutanmaisha ukijua bado hujatusua wala huna any power nyuma yako..

Jitenge na Ndugu na wote wanaokujua yani wanaojua chimbuko lako,nenda mbali kasake maisha yako.

Kuna kitu kama hiyo inamtokea mdogo angu kwa namna yake, sababu naijua na siwezi mwambia Hachelewi niambia "kaka dunia imekuharibu" ukizingatia Asili yetu ulokole ndio kabisa.

Maisha haya ukitaka ufanikiwe kaa mbali na wanaokujua.

Watu huniambia silogeki Lakini hapana si kweli mimi ni mtu ambae sitaki kuzoeleka wala kujulikana wala ile Urafiki wa ndaniiii maana najua adui hupitia humo humo.

Watu huja serious na kuniomba niwapeleke kwa mganga wangu lakini hakuna siri kubwa ktk hii dunia kama Kuwa JESHI LA MTU MMOJA.

Wazazi,Ndugu,marafiki ni wamuhimu katika maisha yetu lakini katika upande na maswala ya mafanikio Binafsi hao watu wana asilimia chache sana za wewe kufanikiwa.

Ili ufike mbali zaidi ni lazima ujitenge na wote hao sehemu wasiokujua ANZA utaona utakavyofanya kila kitu kinafunguka.

Kuna watu wananifata PM kuniambia kila kazi wanayojaribu kufanya inakufa,biashara zina kufa Nawambiaga Hii SIRI ya kujitenga lakini wananchukulia kama nakosa cha kuwashauri, ila kuna faida kubwa sana kuishi na jamiii isiyojua wewe ni nani.

Unakua kama umezaliwa UPYA.
nkushauri njia ya kijasusi!!!!.....mtafute mkemia,ongea nae akupe NUSU KAPUTI{dawa}...then, hamisha maji yote yaliyo ndani mwake hasa chumbani na sebuleni kwake,then tafuta ile pump ya kupulizia dawa ya wadudu shambani{dawa ya mimea}....then changanya maji kiasi kidogo na nusu kaputi,weka ndani ya ile pump{huo mchanganyiko}........then mvizie kalala alaf nyatia chumba alicholala then pulizia hiyo dawa chumbani{hakikisha umevaa mask bila ivo na wewe utalala}........nilisema hamisha maji kwa sababu maji yatanyonya hiyo sumu na itakua haina madhara!!!...okay?...ukishapulizia dawa chumbani mwake subiri kama dk 15 then ingia chumbani mwake kwa kujiamini kwani hana fahamu tena!! anza UJASUSI kwa kusachi kila sehemu{alaf hakikisha umeweka mashine ya kurekodi chini ya kitanda chake kwa akiamka anakua na maruerue na atakua akiropoka ovyo hasa akizinduka na kukuta chumba kimepekuliwa--atazungumza kila ki2}.....anyway pekua hasa chini ya kitanda na kwnye kila kona ya chumba na nguo zake za zamani ambazo havai,,lazma utaona ki2 ama hirizi..n.k.......then kwa vile nusu kaputi itakua imemchosha sana,basi lazma atalala nje mkekani ili apate hewa safo{oxygen} au ataenda kuomba ushauri kw a PANGA LA SHABA mwenzake,hapo ndo fursa ya kuingia chumbani mwake nakuchukua TAPE RECORDER yako...tafuta sehem tulivu usikilize,,hautaamini masikio yako,,,,ukishapata ushahidi wa kutosha itisha kikao cha ukoo!!
 
Aseeeeee
 
Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.

Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.

Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.

Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.

Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.

Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.

Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Duh
Either anatumiwa na adui or
Ana roho ya mauti(ya kuua vitu)

Kabla ya kumyooshea kidole,Acha kumhusisha na Chochote, la pili Anza kuomba juu ya Hilo, muulize Mungu,utajua tu

Karibu
 
Amina
 
Mama ni mama tu, siwezi kumgawa au kumbadili kwa chochote. Happy mothers day. Nampenda hivyo hivyo alivyo na makesheshe yake
nkushauri njia ya kijasusi!!!!.....mtafute mkemia,ongea nae akupe NUSU KAPUTI{dawa}...then, hamisha maji yote yaliyo ndani mwake hasa chumbani na sebuleni kwake,then tafuta ile pump ya kupulizia dawa ya wadudu shambani{dawa ya mimea}....then changanya maji kiasi kidogo na nusu kaputi,weka ndani ya ile pump{huo mchanganyiko}........then mvizie kalala alaf nyatia chumba alicholala then pulizia hiyo dawa chumbani{hakikisha umevaa mask bila ivo na wewe utalala}........nilisema hamisha maji kwa sababu maji yatanyonya hiyo sumu na itakua haina madhara!!!...okay?...ukishapulizia dawa chumbani mwake subiri kama dk 15 then ingia chumbani mwake kwa kujiamini kwani hana fahamu tena!! anza UJASUSI kwa kusachi kila sehemu{alaf hakikisha umeweka mashine ya kurekodi chini ya kitanda chake kwa akiamka anakua na maruerue na atakua akiropoka ovyo hasa akizinduka na kukuta chumba kimepekuliwa--atazungumza kila ki2}.....anyway pekua hasa chini ya kitanda na kwnye kila kona ya chumba na nguo zake za zamani ambazo havai,,lazma utaona ki2 ama hirizi..n.k.......then kwa vile nusu kaputi itakua imemchosha sana,basi lazma atalala nje mkekani ili apate hewa safo{oxygen} au ataenda kuomba ushauri kw a PANGA LA SHABA mwenzake,hapo ndo fursa ya kuingia chumbani mwake nakuchukua TAPE RECORDER yako...tafuta sehem tulivu usikilize,,hautaamini masikio yako,,,,ukishapata ushahidi wa kutosha itisha kikao cha ukoo!!
 
Namshukuru Mungu nimejenga nyumba na nilifanikiwa kwasababu niijenga kwa siri kubwa.

Chochote ninachofanya kizuri au cha kimaendeleo nikimjulisha tu mama kinakufa.

Iwe ni ajira, akinitembelea ofisini kama sijaachishwa kazi bila sababu basi kampuni itafilisika, ili mradi tu niharibikiwe.

Nikajizoazoa nikafungua mgahawa, alipokuja tu, kwa siku nikawa napata mteja mmoja au wawili au hawaji kabisa, nikashindwa ku run business kabisa hadi nikafunga.

Nilikima matikiti, yakaota vizuri sana, nikampeleka shamba kuona jitihada zangu, baada ya siku mbili tu, matikiti yote yakaibwa shambani usiku na hawakuacha hata moja.

Hajawahi kumpenda mtoto wangu hata mmoja, wala mzazi mwenzangu yoyote.

Mimi ni mzaliwa wake wa pili, licha ya kwamba kwa baba yangu ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo kaka yangu ni teja, lakini ndio kipenzi chake, kazaliwa mwaka 1976 lakini hadi leo anakaa kwa mama, watoto wake wanasomeshwa shule nzuri.
Vitu vyako ungekua unaandika kwa jina lake kama Hakimi
 
Cha msingi kabla ya Chochote we Anza kuomba!
Tubu Kwa ajili e,Kwa ajili yake pia ,tubu Kwa ajili ya mlango wowote ambao adui anautumia kuua hivyo vitu.
Halafu kemea roho ya mauti
Lkn pia omba Mungu akuonyeshe nani Yuko nyuma ya hiyo kitu, utakuja kuniambia hapa.
Na ukiomba kuwa makini hata ndoto utakazokua unaota,maana Mungu huwa anasema na watu Kwa njia nyingi na hii ni mojawapo kubwa!
Sawa na Ayubu 33:14-17
 
Back
Top Bottom