Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

Hataki ufanikiwe au Amezungukwa na Mikosi Huyo Mama. Kikubwa Acha Kumhusisha
 
Hizo ni associations tu
Embu angalia ni wapi una-mismanage mambo yako badala ya kutafuta mchawi ni nani!

Mara zote mchawi wa mambo ya Mtu ni mtu mwenyewe!
Hapo hujatuambia tabia zako zipoje!
Unaishi vipi na watu,
Personality yako ni ya namna gani?

Hebu jaribu kujitathimini wewe kwanza na siyo kuangalia nje, tena kwa Mtu wa aina hiyo.

Tabia ya Watu tulio wengi mambo yakituendea mlama tunatafuta visingizio Hada hii tabia ya Kuanza kuoanisha mamboβ€”Associations- hii ni tabia ya Mind ya kila mtu lakini- Check within- Within you.
 
Shida itaanza pale akitaka kuomba yupo maji haaa haaa
 
Mkuu mama yako amekufanyaje?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
We Kuna kitu unataka kusema kuhusu bi mkubwa wako, Ila unataka ututumie sisi kutamka.
 
Si mtu mzuri; kwa sababu ameridhishwa mambo ya kishirikina kutoka kwa mzazi/ndugu zake, anachokinuia kinakuwa na madhara kwako. Mchawi hana rafiki, kaa naye mbali
 
nilimuaga maza naenda kufanya kazi mkoa X badala ya Y, na nikamuonya asimwambie mtu yoyote akasema "sawa."
siku mbili nyingi akawaambia wamama wenzake kanisani! πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole mkuu....

Nitafute tuyajenge.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…