johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumeshakuchawewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga snMwakinanasi
Hapo Rombo mna akili za kupika mbege tu hadi yule mmachame Dr Shoo kalalamika!Hii mwa inawafanya wanakuwa wajinga sn
Hivi miradi mbalimbali inayoendelezwa kupitia maduhuli na kodi za wananchi, na mikopo ambayo itapaswa kulipwa na wanachi wenyewe ni ya umma chini ya udhamini wa serikali ama ya rais binafsi!?Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]
Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?
Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.
Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?
Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Kwenda zako huko na unafiki wako.wewe inajulikana wazi ulishavurugwa. huelewi ushike lipi na uache lipi.mnafiki mkubwa wewe.wewe ni mnafiki vilevile data gani za kukopi na kupaste wanafiki nyie maadui wa watanzania mnakifanyq hamnazo mnajifanya mnaishi Ulaya hamuoni shida taabu na mateso wanayopitia bibi na babu zenu mnaangalia matumbo yenu nyie ombaomba mliolaaniwa kwa kuandika uongo na kujipendekeza kwa uongo mtafufa vibaya sana nyie wanafiki
Huyo wa Mwanza ni wa kiumeNaona chawa wanapigana hapa, chawa yupi ana facts na yupi hana, kumbe kuna timu mbili za machawa humu ndani zote zipo CCM.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yajayo yanafurahisha 😄😄😂😂🌟Kwenda zako huko na unafiki wako.wewe inajulikana wazi ulishavurugwa. huelewi ushike lipi na uache lipi.mnafiki mkubwa wewe.
Wapumbavu kama wewe ndio Huwa nawapenda Sasa.wewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
Naomba na mwingine ajitokeze aseme Mkoani kwake hakuna miradi nimpatie orodha Ili aanze kutembelea mradi mmja Baada ya mwingineWapumbavu kama wewe ndio Huwa nawapenda Sasa.
Mwanza(Ukamilishaji , Mwendazake alishindwa)
-Sgr Mwanza -Isaka 50% done
-Miradi wa Maji Butimba 99% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Airport
-Sekou Toure 4 Storey Ward
-Ukamilishaji wa meli na Vivuko eg Mv Mwanza
-Ukamilishaji wa Magufuli Bridge 80% done
-Ukamilishaji wa Stand Kuu zote mbili 100% done
-Ukamilishaji wa BoT 100% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Tourist Hotel 100% done
Mwanza New Projects
-Ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege Mwanza na kupanua
-Ujenzi wa Majengo ya Ghorofa ya TBA-Ghana
-Ujenzi wa Barabara za Tactic Mwanza Jiji na Ilemela
-Ujenzi wa Hospital ya Jiji
-Ujenzi wa Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Ujenzi wa barabara ya Hungumalwa-Ngudu
-Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Nansio
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya zote
-Ujenzi wa Meli Mpya na Vivuko
-Usanifu wa Upanuzi wa Barabara njia 4 uko hatua za mwisho next financial year ujenzi unaanza (Barabara zote Kuu za hapo Mjini)
-Ujenzi wa jengo la Maktaba Kuu ya Kanda
-Ametoa maboto ya Kisasa 158,vizimba 375 Kwa wavuvi Mwanza bil.65
-Miradi ya Maji ni Utitiri mfano Misungwi Kuna bil.7 hapo
-Miradi ya Afya na Elimu ni Utitiri
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kiufupi Mama ameupiga mwingi Kwa miaka 3 kuliko waliokaa miaka 5 na hakuna walichokamilisha 🤪🤪🤪
Kama unashinda kwenye sites za porno huwezi jua haya mambo 😁😁
Kwa mama Kila goti litapigwa
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Niambie wewe kikaragosi uliyepuuzwa mpaka na mfumo kila teuzi haumo mjinga wewe wanakuona hamnazo wanakuona Yuda Eskarioti Kuna wakati watu wanahoji jinsia yako na majukumu yako yaani mtu hujitambui huna mbele wala nyuma mpaka unaowasifia wanakuona bogus utalikuta linaaadika ndugu zangu watanzania hata haya hauna nyie mnafikiri mtapata chochote zaidi ya uomba omba umatonyaKwenda zako huko na unafiki wako.wewe inajulikana wazi ulishavurugwa. huelewi ushike lipi na uache lipi.mnafiki mkubwa wewe.
Ndege wanaofanan huruka pamoja..!!Choice variable Ni komandoo wa data na facts tu.ngoja aje hapa akushushie NONDO zenye ushahidi.maana inaonekana wewe kuna kitu au jambo limekuvuruga akili yako . Huwezi vita unayotaka kuipigana maana wewe bado mchanga sana kupigana vita yoyote ile.
hapo kwenye watu weka CCM ili ueleweke vizuri.watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Ya Umma ila custodian wake ni jemedari Samia.Hivi miradi mbalimbali inayoendelezwa kupitia maduhuli na kodi za wananchi, na mikopo ambayo itapaswa kulipwa na wanachi wenyewe ni ya umma chini ya udhamini wa serikali ama ya rais binafsi!?
Hakuna hata kimoja kinachoendelea unajitungia tu ndio maana nakuita mnafiki mpaka unaojioendekeza kwao wanakuona hopeless mimi niko Mwanza hapa hiyo miradi yote haipo zaidi ya miradi hiyo ya magufuliWapumbavu kama wewe ndio Huwa nawapenda Sasa.
Mwanza(Ukamilishaji , Mwendazake alishindwa)
-Sgr Mwanza -Isaka 50% done
-Miradi wa Maji Butimba 99% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Airport
-Sekou Toure 4 Storey Ward
-Ukamilishaji wa meli na Vivuko eg Mv Mwanza
-Ukamilishaji wa Magufuli Bridge 80% done
-Ukamilishaji wa Stand Kuu zote mbili 100% done
-Ukamilishaji wa BoT 100% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Tourist Hotel 100% done
Mwanza New Projects
-Ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege Mwanza na kupanua
-Ujenzi wa Majengo ya Ghorofa ya TBA-Ghana
-Ujenzi wa Barabara za Tactic Mwanza Jiji na Ilemela
-Ujenzi wa Hospital ya Jiji
-Ujenzi wa Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Ujenzi wa barabara ya Hungumalwa-Ngudu
-Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Nansio
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya zote
-Ujenzi wa Meli Mpya na Vivuko
-Usanifu wa Upanuzi wa Barabara njia 4 uko hatua za mwisho next financial year ujenzi unaanza (Barabara zote Kuu za hapo Mjini)
-Ujenzi wa jengo la Maktaba Kuu ya Kanda
-Ametoa maboto ya Kisasa 158,vizimba 375 Kwa wavuvi Mwanza bil.65
-Miradi ya Maji ni Utitiri mfano Misungwi Kuna bil.7 hapo
-Miradi ya Afya na Elimu ni Utitiri
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kiufupi Mama ameupiga mwingi Kwa miaka 3 kuliko waliokaa miaka 5 na hakuna walichokamilisha 🤪🤪🤪
Kama unashinda kwenye sites za porno huwezi jua haya mambo 😁😁
Kwa mama Kila goti litapigwa
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Nadhani unaongea kinyume chake.Inaonekana watu wengi wanaotokea Mbeya ukimtoa Sugu wengi ni wajinga sn sijui kwanini?
Hapa ndipo Huwa nakuona wewe ni mpumbavu na ntakuacha na upumbavu wako Nina mengi ya kufanya ya maana.Hakuna hata kimoja kinachoendelea unajitungia tu ndio maana nakuita mnafiki mpaka unaojioendekeza kwao wanakuona hopeless mimi niko Mwanza hapa hiyo miradi yote haipo zaidi ya miradi hiyo ya magufuli