Wapumbavu kama wewe ndio Huwa nawapenda Sasa.
Mwanza(Ukamilishaji , Mwendazake alishindwa)
-Sgr Mwanza -Isaka 50% done
-Miradi wa Maji Butimba 99% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Airport
-Sekou Toure 4 Storey Ward
-Ukamilishaji wa meli na Vivuko eg Mv Mwanza
-Ukamilishaji wa Magufuli Bridge 80% done
-Ukamilishaji wa Stand Kuu zote mbili 100% done
-Ukamilishaji wa BoT 100% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Tourist Hotel 100% done
Mwanza New Projects
-Ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege Mwanza na kupanua
-Ujenzi wa Majengo ya Ghorofa ya TBA-Ghana
-Ujenzi wa Barabara za Tactic Mwanza Jiji na Ilemela
-Ujenzi wa Hospital ya Jiji
-Ujenzi wa Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Ujenzi wa barabara ya Hungumalwa-Ngudu
-Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Nansio
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya zote
-Ujenzi wa Meli Mpya na Vivuko
-Usanifu wa Upanuzi wa Barabara njia 4 uko hatua za mwisho next financial year ujenzi unaanza (Barabara zote Kuu za hapo Mjini)
-Ujenzi wa jengo la Maktaba Kuu ya Kanda
-Ametoa maboto ya Kisasa 158,vizimba 375 Kwa wavuvi Mwanza bil.65
-Miradi ya Maji ni Utitiri mfano Misungwi Kuna bil.7 hapo
-Miradi ya Afya na Elimu ni Utitiri
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kiufupi Mama ameupiga mwingi Kwa miaka 3 kuliko waliokaa miaka 5 na hakuna walichokamilisha 🤪🤪🤪
Kama unashinda kwenye sites za porno huwezi jua haya mambo 😁😁
Kwa mama Kila goti litapigwa
View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==