Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
wewe ndio nyumbu manake mwerevun hujibu kwa werevu sasa huon umejishusha hadhi hapo unapanic kujibu kwa hasira by the way nijibu miradi ya Kilimanjaroa achana na hizi ngonjeraKwa nini usimwambie huyo nyumbu mwenzio aache matusi ajibu hoja?
Pili Hoja ipi ambayo sijajibu? Narudia kuwambia kwamba kama Madam is incompetent yet shei is outperforming your so called competent,mpaka hapo competent wenu anatusaidia nini sisi Wananchi?
View: https://www.instagram.com/reel/C1aASiBo4Ia/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
wewe ndie unayemwona yuko hivyo ila kwa sisi bado ana safari ndefu.Kwa nini usimwambie huyo nyumbu mwenzio aache matusi ajibu hoja?
Pili Hoja ipi ambayo sijajibu? Narudia kuwambia kwamba kama Madam is incompetent yet shei is outperforming your so called competent,mpaka hapo competent wenu anatusaidia nini sisi Wananchi?
View: https://www.instagram.com/reel/C1aASiBo4Ia/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Mama anasambaza Upendo Kila Mkoa.Kwa Kilimanjaro Kuna miradi Mingi mipya kuliko ya zamani.KILIMANJARO
nipe miradi mipya na inayokamilika. usivuke hili
Kuna mahala nimesema amemaliza safari? Safari yake itakoma 2030wewe ndie unayemwona yuko hivyo ila kwa sisi bado ana safari ndefu.
Hapo kwenye shule acha uongo hatuna uhaba wa shuleMama anasambaza Upendo Kila Mkoa.Kwa Kilimanjaro Kuna miradi Mingi mipya kuliko ya zamani.
View: https://www.instagram.com/reel/C0EOOb_NbXU/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Projects anazokamilisha na alizokamilisha Kilimanjaro ni;
-Amekamilisha hospital ya Rombo
-Ujenzi wa Standi Kuu
-Amekamilisha na kukarabati Baadhi ya hospital za Wilaya mfano Rombo
-Amekamilisha kupandisha wifi Kilele Cha Kilimanjaro
-Ameanzisha Utalii wa cable na puto Kwenye mlima Kilimanjaro
Miradi mipya inayoendelea na ujenzi ni
-Ujenzi wa uwanja wa ndege Moshi
-Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mionzi Kitengo kipya Cha Saratani KCMC
View: https://www.instagram.com/p/Ct8_OtJtw5_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==-Ujenzi wa Mradi wa Maji Moshi Mjini wa Karanga-Darajani
-kufufua mradi mkubwa wa Maji Same-Mwanga ,ulikwama Toka awamu ya Mkapa
-Ujenzi wa barabara za lami za Sanya Juu-Hai-Bomang'ombe
-Ujenzi wa barabara ya kwenda Hifadhi Same-Mkomazi
-Ujenzi wa Kituo Cha Umahiri maalumu Kwa Ajili ya Utafiti wa Masuala ya Nishati Jadidifu(Kinasimamowa na Chuo Kikuu Cha Nelson Mandela).
-Ukarabati na Upanuzi wa Bwawa la Umeme la Hale
-Upanuzi wa kiwanda cha TPC Moshi(Serikali imemwaga pesa)
-Ujenzi wa Viwanda vingi tuu mfano vya kusindika tangawizi,pesticides nk
-Ujenzi wa Hospital Mpya na Ukarabati wa hospital za zamani mfano Moshi Vijijini nk.
-Ujenzi wa Vituo vya Afya,mashule nk
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1731921708787851424?t=O7BHUDsjjaV5Kl-n6WkJrQ&s=19
Kiufupi miradi ni Mingi sana japo Kwa Kilimanjaro hatutarajii miradi mikubwa saana Kwa sababu sehemu kubwa Mkoa unafikika.
Mradi mkubwa pekee ambao umeyeyuka Kupitia JICA ni Njia 4 kutoka Arusha-Moshi-Holili Hadi Kunyaland.
Huyo ni mwigulu ndo anajiita hilo jina kwa hiyo huweiz umiza kichwa chako kwa hiloWatu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Ukipiga kazi lazima uitwe katili tu kama unavyotaka kutuaminisha ..Magu pamoja na ukatili wake lakini alikuwa anapiga kazi, huyu bibi tozo kazi kubwa ni kuteua kutengua na kuhamisha.
Huu ujinga ndio mlikuwaga mnadanganyana sawa tuu na kusema mna hospital Kila Kijiji wakati ndio kwanza zinajengwa.Hapo kwenye shule acha uongo hatuna uhaba wa shule
Hapo kwenye hospitali za moshi vijijini kama zipi huko zipo hospitali hata kcmc ikizidiwa wagonjwa hupandishwa mfano kibosho hospital.
Stand mpya ipi hio toka imetokea chemchem pale ineshakamilika kwa muda uliopita hapo hio imekuwa changamoto na kilio chetu muda sasa.
Barabara ya kibosho chuo cha singachini ilikwamia sehemu toka enzi ya kikwete hadi sasa hamna mwelendlezo ikakutane na ya kibosho umbwe inayotoka kibosho raad
Kiufupi hizi siasa ndio maana ccm unaona hatuwaelewi huko sababu ya siasa zao majitaka kwa sababu ya kuwa na upinzani maeneo hayo ndio maana wanatumia kama fimbo ingali ukishachukua madaraka uapaswa kutenda bila kuangalia tabaka.
Acha porojo wewe,mradi mwingine wa mama Chuo Cha MwekaHapo kwenye shule acha uongo hatuna uhaba wa shule
Hapo kwenye hospitali za moshi vijijini kama zipi huko zipo hospitali hata kcmc ikizidiwa wagonjwa hupandishwa mfano kibosho hospital.
Stand mpya ipi hio toka imetokea chemchem pale ineshakamilika kwa muda uliopita hapo hio imekuwa changamoto na kilio chetu muda sasa.
Barabara ya kibosho chuo cha singachini ilikwamia sehemu toka enzi ya kikwete hadi sasa hamna mwelendlezo ikakutane na ya kibosho umbwe inayotoka kibosho raad
Kiufupi hizi siasa ndio maana ccm unaona hatuwaelewi huko sababu ya siasa zao majitaka kwa sababu ya kuwa na upinzani maeneo hayo ndio maana wanatumia kama fimbo ingali ukishachukua madaraka uapaswa kutenda bila kuangalia tabaka.
siwezi kuleteqNiletee taarifa sitaki porojo
wewe unapiga snapshot za mchongo na kujitungia data za mchongo na za uongo kama unasifia uozo huu unaofanyika kwa sasa kila pahala pameoza nchi imeharibika kila pahala ushindwe kujitungia data nawaambia mwisho wenu 2023 jiandaeni mna siku 2 tu za kudunda baadaye mtalia na kusaga meno kwa uyuda eskarioti wewe unatuletea data za mchongo mchongo tuletee official government notice sio huu ujinga wa kukopi kopi nyambaaf nyie mabwana zako yanaiba yanakula yanavimbiwa yananenepeana kwa kodi zetuMama anasambaza Upendo Kila Mkoa.Kwa Kilimanjaro Kuna miradi Mingi mipya kuliko ya zamani.
View: https://www.instagram.com/reel/C0EOOb_NbXU/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Projects anazokamilisha na alizokamilisha Kilimanjaro ni;
-Amekamilisha hospital ya Rombo
-Ujenzi wa Standi Kuu
-Amekamilisha na kukarabati Baadhi ya hospital za Wilaya mfano Rombo
-Amekamilisha kupandisha wifi Kilele Cha Kilimanjaro
-Ameanzisha Utalii wa cable na puto Kwenye mlima Kilimanjaro
Miradi mipya inayoendelea na ujenzi ni
-Ujenzi wa uwanja wa ndege Moshi
-Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mionzi Kitengo kipya Cha Saratani KCMC
View: https://www.instagram.com/p/Ct8_OtJtw5_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==-Ujenzi wa Mradi wa Maji Moshi Mjini wa Karanga-Darajani
-kufufua mradi mkubwa wa Maji Same-Mwanga ,ulikwama Toka awamu ya Mkapa
-Ujenzi wa barabara za lami za Sanya Juu-Hai-Bomang'ombe
-Ujenzi wa barabara ya kwenda Hifadhi Same-Mkomazi
-Ujenzi wa Kituo Cha Umahiri maalumu Kwa Ajili ya Utafiti wa Masuala ya Nishati Jadidifu(Kinasimamowa na Chuo Kikuu Cha Nelson Mandela).
-Ukarabati na Upanuzi wa Bwawa la Umeme la Hale
-Upanuzi wa kiwanda cha TPC Moshi(Serikali imemwaga pesa)
-Ujenzi wa Viwanda vingi tuu mfano vya kusindika tangawizi,pesticides nk
-Ujenzi wa Hospital Mpya na Ukarabati wa hospital za zamani mfano Moshi Vijijini nk.
-Ujenzi wa Vituo vya Afya,mashule nk
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1731921708787851424?t=O7BHUDsjjaV5Kl-n6WkJrQ&s=19
Kiufupi miradi ni Mingi sana japo Kwa Kilimanjaro hatutarajii miradi mikubwa saana Kwa sababu sehemu kubwa Mkoa unafikika.
Mradi mkubwa pekee ambao umeyeyuka Kupitia JICA ni Njia 4 kutoka Arusha-Moshi-Holili Hadi Kunyaland.
Magu pamoja na ukatili wake lakini alikuwa anapiga kazi, huyu bibi tozo kazi kubwa ni kuteua kutengua na kuhamisha.
Magufuli hakuwa na ujinga kama wa amu hii ya sasa..hata Magufuli alikuwa anateua na kutengua muda mwingi.
..lakini sifa kuu ya Magufuli na kumbukumbu ya utawala wake ilikuwa UKATILI/UTEKAJI/MAUAJI.
..Na chawa wake walikuwa wakijigamba waziwazi kwamba wao ni watu wa "kazi."
Hata hicho kituo cha afya kipya hapo igoma hujakiona?wewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
Magufuli hakuwa na ujinga kama wa amu hii ya sasa
kama hakumuua bibi yako babu yako na wewe upo unaishi basi wewe una ugonjwa unaitwa schizophrenia yaani ukikaa kidogo unapata hallucinations zinazotengeneza picha za uongo..lakini alikuwa katili na muuaji.
..na chawa wake mlikuwa mkimsifia na kutamba kuwa mko juu ya sheria.
hivi wewe una akili kweli nyie watu wazima mnamsifia Rais kwa mradi wa mill200 au 400 tunapoongea mambo amefanya Rais tuambieni Mega projects zinazoivusha nchi kwenye matatizo suguHata hicho kituo cha afya kipya hapo igoma hujakiona?
nilikuwa sahihi kukuignore sasa ntakurudisha huko huna akiliAcha porojo wewe,mradi mwingine wa mama Chuo Cha Mweka
View: https://www.instagram.com/p/Ct3q-EmNvpM/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Umechelewa sana Kuni ignore si unajua nitakosa marupurupu kutoka kwako πππππππnilikuwa sahihi kukuignoe sasa ntakurudisha huko huna akili
wewe ni juha mimi ndio nyumbani naelewa matatizo na hizo porojo za siasa yapo mambo chungu nzima serekali imeuweka pending huo mkoa sababu ya mihemko ya siasa sasa kibosho ni sehemu ya kuwa na shida ya maji kweli? hilo lipo na sasa linasumbua lina kama miezi mitano na upuuzi vyanzo vya maji vipo kuweka miundombinu mipya hawawezi wao wanachoweza ni kuweka meter na kupita kila mwezi kukusanya hela hopless kabisa.Acha porojo wewe,mradi mwingine wa mama Chuo Cha Mweka
View: https://www.instagram.com/p/Ct3q-EmNvpM/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hebu mtaje huyo ChoiceVariable kwa jina lake halisi tumjue. Inaonekana unamfahsmu fika. Ban ya siku mbili tatu haitakuathiri kitu.Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia