Mama anasambaza Upendo Kila Mkoa.Kwa Kilimanjaro Kuna miradi Mingi mipya kuliko ya zamani.
View: https://www.instagram.com/reel/C0EOOb_NbXU/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Projects anazokamilisha na alizokamilisha Kilimanjaro ni;
-Amekamilisha hospital ya Rombo
-Ujenzi wa Standi Kuu
-Amekamilisha na kukarabati Baadhi ya hospital za Wilaya mfano Rombo
-Amekamilisha kupandisha wifi Kilele Cha Kilimanjaro
-Ameanzisha Utalii wa cable na puto Kwenye mlima Kilimanjaro
Miradi mipya inayoendelea na ujenzi ni
-Ujenzi wa uwanja wa ndege Moshi
-Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mionzi Kitengo kipya Cha Saratani KCMC
View: https://www.instagram.com/p/Ct8_OtJtw5_/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
-Ujenzi wa Mradi wa Maji Moshi Mjini wa Karanga-Darajani
-kufufua mradi mkubwa wa Maji Same-Mwanga ,ulikwama Toka awamu ya Mkapa
-Ujenzi wa barabara za lami za Sanya Juu-Hai-Bomang'ombe
-Ujenzi wa barabara ya kwenda Hifadhi Same-Mkomazi
-Ujenzi wa Kituo Cha Umahiri maalumu Kwa Ajili ya Utafiti wa Masuala ya Nishati Jadidifu(Kinasimamowa na Chuo Kikuu Cha Nelson Mandela).
-Ukarabati na Upanuzi wa Bwawa la Umeme la Hale
-Upanuzi wa kiwanda cha TPC Moshi(Serikali imemwaga pesa)
-Ujenzi wa Viwanda vingi tuu mfano vya kusindika tangawizi,pesticides nk
-Ujenzi wa Hospital Mpya na Ukarabati wa hospital za zamani mfano Moshi Vijijini nk.
-Ujenzi wa Vituo vya Afya,mashule nk
View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1731921708787851424?t=O7BHUDsjjaV5Kl-n6WkJrQ&s=19
Kiufupi miradi ni Mingi sana japo Kwa Kilimanjaro hatutarajii miradi mikubwa saana Kwa sababu sehemu kubwa Mkoa unafikika.
Mradi mkubwa pekee ambao umeyeyuka Kupitia JICA ni Njia 4 kutoka Arusha-Moshi-Holili Hadi Kunyaland.