Choicevariable

Choicevariable

Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga anajiita mwerevu,mwerevu anaitwa mjinga 🤣🤣🤣🤣, choicevariable wewe ni nani ??au upside down
Chadema ndii wajinga eti badala wajikisanye kujiandaa pesa hata kumsaidia mgombea wa jimbo moja,wao wanataka kumnunulia lissu gari,hovyo sana
 
political scientist anakuvuruga sana eee 🐒

a man in a mission kwa taratibu na kwa upole utamuelewa but kwa pupa au force,
u can't ,
politically speaking 🐒
Mwingine. P’se create a new contact or add to existing address.
 
Back
Top Bottom