Choicevariable

Choicevariable

Hivi kuna yule chawa alikua anajiita bia yetu alikufaga kwa ngoma au ndio Lukas mwashamba alikuja na I'd nyingine?
 
Huyu Ndio choice variable
Ndiyo. Amekiri mwenyewe. No doubt. Anatafutwa kwa upotoshaji na uwasilishaji wa taarifa za taasisi za serikali bila ya kutumia weledi.(Inasadikika)
========
Promotion [✓]
 
Makerubi Ya CCM
Hana UCCM wa aina yeyote ile na ashakiri hivyo. Yeye ni mtetezi wa mabeberu. Ama kama ilivyoandikwa huko juu, ni Mercenary. Itoshe genge lake lipo kwa sasa kukusanya views. Analipwa huko nchi za nje kwa kuleta nyuzi zake.
 
Choice variable,tuanze na jinsia yake
 
Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga anajiita mwerevu,mwerevu anaitwa mjinga 🤣🤣🤣🤣, choicevariable wewe ni nani ??au upside down
 

Attachments

  • VID-20240701-WA0040.mp4
    9.8 MB
Back
Top Bottom