Mrs salvador
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 241
- 256
Ahaaa ahaaaa sijui matumizi yakeKwangu huwa naziona ni kama hirizi za waganga wa kienyeji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa ahaaaa sijui matumizi yakeKwangu huwa naziona ni kama hirizi za waganga wa kienyeji.
hahahaa nimejikuta nachekwa kwa sauti jaman,wallah umenifurahishaduh hayo mengine too much kaka, ye akiomba uweke kipini kwenye kichwa cha babujii utakubali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakutana na dada anateremka kwenye gari kiuno kinabaki wazi kapanga shanga mingi zile zenye rangi za Maraster unajiuliza huyu naye raster ama ndo combination ya rangi tu..Hadi anaonekana mchafu....
View attachment 410269
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.
Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.
Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.
Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])
Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.
Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.
Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.
Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.
Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umetoa tu maelezo ya kawaida kabisa kuhusu shanga bila kufafanua jinsi ya kuzitumia. Baadhi ya maswali kuhusu jinsi ya kuzitumia ni ka ifuatavyo?
1) Zinavaliwa? Na nani na wakati gani?
2) Ni za rangi gani? Kwa sababu gani?
3) Ziko ngapi? Kwa ajili ya nini?
4) Zinapapasika? Kwa jinsi ipi?
5) Zinahesabika? Kwa namna ipi?
6) Zinahamasisha? Kwa njia ipi?
Duuu kiuno nyigu
Ninekata sana shanga za wasichana, ila ukweli kuna ambao wanajua kuzitumia utafurahi sanaView attachment 410269