Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Wanakwepa kujibu haya maswali kwasababu hata wao hawajui matumizi yake.

Wanavaa tu kwasababu ya mazoea au walikuta wazee/wazazi wao wanavaa.

Kama wanajua matumizi yake mbona wanakwepa hayo maswali?

They r useless during intercourse.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntakutafute umfunde wa kwangu.
Hajui chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mwanamke wangu wa Tanga ambae ndio Fiance wangu anazo niliwai muuliza akanambia zipo za rangi tofauti mfano nyekundu inamaana yupo Katika siku mbaya
Nyeupe inamaana ya usafi
Rangi nyingine nimesahau sema pia uwa zinavaliwa siku maalumu sio kila siku kama wanawake wa skuizi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwezi kuvaa shanga kama hujui kazi yake.
Wengi wanaovaa siku hizi wanafata mkumbo.
Sio kila kabila wana utamaduni wa kuvaa shanga .Lakini pia sio kila wanaovaa shanga wanavaa kwa purpose ya mapenzi.
Kuna makabila wanavalisha mtoto wa kike toka akiwa na umri wa miaka miwili kwa madai ya kumchonga shape/kiuno....Wengine kwasababu wanazojua wao.
Nnakotoka mimi binti akivunja ungo akawekwa ndani na kupewa mafunzo akishafuzu akaiva ndo anapewa shanga kwasabu amefunzwa matumizi yake.
Shanga zina miiko yake...achana na wasichana wa mjini anaevaa shanga akaenda sokoni, kazini au kwenye halaiki ya watu huku kavaa nguo ambayo akiinama au akinyanyua mkono zinaonekana.
Matumizi ya shanga ni practical zaidi huwezi kaa ukahadithiwa kama story ndo maana tunafungiwa ndani na somo/kungwi.
Ni kama kukata kiuino kitandani hufundishwi kwa maneno...unahitaji somo.
Halafuuuuuu....anaetoa siri za kufundwa ndani sie tunamuita MSUNGO. Ndo maana wanao waambia hawawapi maelezo yaliyonyooka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi ya shanga ni practical zaidi huwezi kaa ukahadithiwa kama story ndo maana tunafungiwa ndani na somo/kungwi.
Ni kama kukata kiuino kitandani hufundishwi kwa maneno...unahitaji somo.
Halafuuuuuu....anaetoa siri za kufundwa ndani sie tunamuita MSUNGO. Ndo maana wanao waambia hawawapi maelezo yaliyonyooka. Hongea umbu jangu

Jr[emoji769]
 
[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungekuja na uzi mwingine namna za kuzitumia plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…