Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Wafaa kuwa kungwi wangu ngoja nikufate pm😀😀 sijua a Wala b ya hizi vitu na Niko kwenye ndoa muda mrefu 🤔🤔
 
Binafsi nazipenda ila sijui matumizi yake... kaka jr ningeomba kama inawezekana japo ka clip tuu cha jinsi ya kuzitumia... I real wish jaman mana kiuno kipo[emoji85] [emoji28] [emoji28] ila sasa matumiz sijuiiiiiii
Labda nkushauri jr yupo tabata mtafute mkafahamishane jinsi ya uvaaji na utumiaje
 
Halafu mbona Mimi sizipendi!!!? Yaani nikiona demu kavaa naona kama miuchafu tu.....afadhali cheni
 
Juzi juzi hapa nilikuwa Club naenjoy muziki mzuri mara nikaona mashoga watano wamevaa shanga ndo kila nikiziona sina hamu nazo tena..
 
Wanawake wa kanda ya ziwa,ya kati na kidogo mbeya na pwani ndo hupenda kuvaa.Ila Arusha, kilimanjaro, manyara hamna kitu.

Kidogo Massai huzitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…