Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Mi naona ni mtazamo wako tu. Siku hizi hizo shanga zinavaliwa kama urembo tu. Juzi kati hapa nimetoka kubishana na mr. nae anaona mwanamke kuvaa vikuku ni malaya. Nikamwambia ni vile tu sijawai kivipenda na mi ningevaa. Nilikatwa jicho lile la"ole wako".
 
Unakariri
 
Kama atavaa shanga na akazificha(hazioneshi hadharani) kwa lengo la kumburudisha mwenzake(mume) ndani basi hajaharibu kitu na yuko sahihi.. Mwanamke kujipamba kwa ajili ya mume wake si kosa, ndani ya ndoa starehe lazima ipatikane, kama starehe ya mwenzake ni shanga kwanini umuite malaya?

Mzee unapohangaika kunyonya papa, maziwa na vingi vingi, huwa ni kwa ajili ya nini si kumstarehesha mwenzio!? Kwanini usichovye ukakojoa ukapita kushoto.
 
Acha hizo iman lada vikuku ila shanga Kiunoni kawaida ,, sasa me wife anavaa nguo ndefu hizo shanga naziona mimi peke yangu akivua. kuna tatizo gn? Na umalaya wake unatoka wap?Acha ushamba wako rudi huko porini
 

We ni kijana wa hovyo sana!tatizo umekalili maisha dogo!vikuku saiv ni urembo tu kuna wadada wamesoma na wanajielewa sana kwa hiyo wahindi kuvaa vikuku wote ni malaya???[emoji38]
 
Umemaliza kila kitu mkuu..
 
Maendeleo Yatachelewa Sana Hapa Tanzania
Ni kweli kabisa, yaani wanaume wanajadili mambo ya ajabu kabisa. Mimi nina bleach kabisa kuchwa kizima na siogopi eti watu wananichukuliaje. As long as mwajiri wangu na mpenzi wangu anaona sawa wala sijali. Kazini kwetu hata uvae vikuku 10 no one cares wanachotaka ni delivarables
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…