Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.
Mimi hapa ndio wanapo niudhi. Kwanini uvae shanga sehemu isiyo husika?? Hao ninwashamba na wanafata mkumbo. Unakuta mtu kavaa kwenye dala dala blouse fupi at kashika bombs au ofisini.... Za kazi gani? Matokeo yake zinaanguka. Shanga zinasehemu yake.
 
Na shanga lundoooo, ila sipendi kuvaaa vikorokocho korokocho mwilini.
Mume wangu hajaweka kichwani kabisa, mambo haya, asante mungu.
Labda akifika miaka 60.

Nawashangaa wanawake wanao vaa shanga, kabla ya kuolewa.
Sheria inasema kama hauja olewa hautakiwi kuvaa shanga...............hahahaha, hiyo ndio mila ya kwetu.
Kama wazungu, huwezi kuvaa pete ya ndoa kama hauja olewa.

Wanawake wengi ambao hawajachezwa hawajui maana yake kabisa.


Vile vile huwezi kuvaa shanga kwa kila mwanaume............unaweza kuvaa shanga kwa mwanaume anae jua maana yake, hasie jua maana yake atakuwa haelewi.

Mfano mwanamke akivaa shanga nyekundu kiunoni ni sign, anavuja damu, ana menstruation.

Hauitaji kumwambia mumeo kwa maneno, (oh bwana wewe mimi leo nasiku zangu, sitaki).

Na akivaa shanga nyeupe shingoni, maana yake menstruation isha kwisha. Unaweza kuosha kirungu, hahahaha, ndio maana yake.

Kama mwanaume hajui maana yake, yote inakuwa aina maana yeyote ile. Utapoteza time tu. Bora husivae.

Samahani kwa nitakao wakera,
natambua hairuhusiwi kusema mambo kama haya, lakini sijasema mengi, mawili tu
Hapa kwetu kwa mtogole mpaka vitoto vya kike vidogo vinavyeshwa. Eti kuumba viuno vyao. Hatarii.
 
Weekend jf inakuaga ya moto
Cjui kwann hua nachelewa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom