jay john
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 429
- 251
na vile wanavyovaaga miguuni wanaita vikuku[emoji85] [emoji85] [emoji23] vina maana gani vile?.Katanga? Karanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na vile wanavyovaaga miguuni wanaita vikuku[emoji85] [emoji85] [emoji23] vina maana gani vile?.Katanga? Karanga!
kiuno changu kina umbo kama la yule mzee wa malofa na wapumbavu.Hahhahah kwanini jamani?
Loh[emoji30] [emoji31] [emoji38]kiuno changu kina umbo kama la yule mzee wa malofa na wapumbavu.
Mimi hapa ndio wanapo niudhi. Kwanini uvae shanga sehemu isiyo husika?? Hao ninwashamba na wanafata mkumbo. Unakuta mtu kavaa kwenye dala dala blouse fupi at kashika bombs au ofisini.... Za kazi gani? Matokeo yake zinaanguka. Shanga zinasehemu yake.Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.
lolest, kah!Usiombe shanga ikashika vooooz, utatamani kuita watu
duh...hahahahhah![emoji3] [emoji3] [emoji3] sasa unakutana na mwanamke ana kiuno kigumu kama peremende utafikiri anapasua mawe...[emoji85] [emoji87] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapa kwetu kwa mtogole mpaka vitoto vya kike vidogo vinavyeshwa. Eti kuumba viuno vyao. Hatarii.Na shanga lundoooo, ila sipendi kuvaaa vikorokocho korokocho mwilini.
Mume wangu hajaweka kichwani kabisa, mambo haya, asante mungu.
Labda akifika miaka 60.
Nawashangaa wanawake wanao vaa shanga, kabla ya kuolewa.
Sheria inasema kama hauja olewa hautakiwi kuvaa shanga...............hahahaha, hiyo ndio mila ya kwetu.
Kama wazungu, huwezi kuvaa pete ya ndoa kama hauja olewa.
Wanawake wengi ambao hawajachezwa hawajui maana yake kabisa.
Vile vile huwezi kuvaa shanga kwa kila mwanaume............unaweza kuvaa shanga kwa mwanaume anae jua maana yake, hasie jua maana yake atakuwa haelewi.
Mfano mwanamke akivaa shanga nyekundu kiunoni ni sign, anavuja damu, ana menstruation.
Hauitaji kumwambia mumeo kwa maneno, (oh bwana wewe mimi leo nasiku zangu, sitaki).
Na akivaa shanga nyeupe shingoni, maana yake menstruation isha kwisha. Unaweza kuosha kirungu, hahahaha, ndio maana yake.
Kama mwanaume hajui maana yake, yote inakuwa aina maana yeyote ile. Utapoteza time tu. Bora husivae.
Samahani kwa nitakao wakera,
natambua hairuhusiwi kusema mambo kama haya, lakini sijasema mengi, mawili tu
Eti na wachaga nao siku hizi eanazivaaHapa kwetu kwa mtogole mpaka vitoto vya kike vidogo vinavyeshwa. Eti kuumba viuno vyao. Hatarii.
Hizo ndiyo raha za Kwamtogole bwana.Hapa kwetu kwa mtogole mpaka vitoto vya kike vidogo vinavyeshwa. Eti kuumba viuno vyao. Hatarii.
Hizo ndiyo raha za Kwamtogole bwana.
hujakuwa bado ukikua utaztafuta[emoji13] [emoji13] [emoji13]It has never attract or catch my attention in love..!
Even meIt has never attract or catch my attention in love..!