Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

-700622194-1968791156.jpg
1832409250-263748788.jpg
 
Sasa ndio vitu gani hivi we mzee, manake nikiona hizi nyonga na vino na hizo nyama basi hali inakuwa tete...Acha hizo[emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1550]
 
Nina set nane kila rangi, yaani siwezi toka nje bila shanga, nazivaa full time. Ni miaka miwili tangu nijuwe urembo wa shanga.afu zinatengeneza kiuno
 
Umeitambua siri ya urembo usio na madhara
Yaani siku hizi ziko nzuri balaa, yaan nikienda madukani lazima nichukuwe rangi mpya.nametishia na nguo za ndani.

Kiufupi mimi matumizi yake siyajui nilijikuta nazipenda kuzivaa all the time. Nzuri zaidi ni hizi za kisasa unakuta ziko sita au tisa zimefungwa pamoja weee kwakweli ni nzuri.

Yaani usiku nikiwa naandaa nguo ya kuvaa kesho basi naandaa na shanga inayoendana😂😂
 
Yaani siku hizi ziko nzuri balaa, yaan nikienda madukani lazima nichukuwe rangi mpya.nametishia na nguo za ndani.

Kiufupi mimi matumizi yake siyajui nilijikuta nazipenda kuzivaa all the time. Nzuri zaidi ni hizi za kisasa unakuta ziko sita au tisa zimefungwa pamoja weee kwakweli ni nzuri.

Yaani usiku nikiwa naandaa nguo ya kuvaa kesho basi naandaa na shanga inayoendana[emoji23][emoji23]
Dah.. Sorry to say this.. But nadhani jamaa anafaidi hadi namuonea wivu[emoji85]
 
Ilichukua muda kugundua zisipokuwepo ni bati linavuja!.....
 
Back
Top Bottom